22/06/2026
Wafanayakazi wa Mamlaka ya Usafiri Baharini Zanzibar ( ZMA) Wakiwa katika Banda la Maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Mabaharia Duniani ikiwa ni Siku ya Kwanza ya Ufunguzi wa Maadhimisho hayo tarehe 22 Juni 2025 Mwanga Community Centre Kigoma 2026.