27/09/2025
HAUSUNG FC ni timu ya mpira wa miguu yenye makao yake makuu ILOWOLA SEKONDARI iliyopo NJOMBE. Timu inashiriki mashindano ya NBC Champion league msimu wa 2025-2026. Lengo letu ni kuibua na kukuza vipaji kwa vijana. Mlete mwanao apete elimu bora ya darasani pia tumkuze kimichezo. Michezo ni afya, burudani na fursa nzuri ya ajira
ILOWOLA SEKONDARI:
ELIMU, SALA NA KAZI