Yuris Dutch

Yuris Dutch positive vibes

14/05/2026

Kuna watu wanapata pesa nyingi lakini kila mwezi unaoisha wanajikuta hawana kitu. Shida sio kipato kidogo, shida ni Financial Literacy. Watu wengi wanajua kutafuta pesa, lakini hawajui jinsi ya kuilinda na kuikuza. Wanaishi maisha ya "show off" ili kuwafurahisha watu wasiowapenda kwa kutumia pesa wasizokuwa nazo. Ukijifunza tofauti kati ya Asset na Liability, hapo ndipo utajiri wa kweli unapoanzia. Unanunua vitu vinavyoingiza pesa mfukoni au vinavyotoa pesa mfukoni?

Tofauti kati ya maskini na tajiri sio saa wanazopewa na Mungu, bali ni jinsi wanavyozitumia saa hizo. Maskini anauza mud...
13/05/2026

Tofauti kati ya maskini na tajiri sio saa wanazopewa na Mungu, bali ni jinsi wanavyozitumia saa hizo. Maskini anauza muda wake kupata pesa, tajiri ananunua muda wa wengine ili apate muda zaidi wa kufikiri. Ukiona unatumia muda mwingi kulala, kubishana mitandaoni, au kufuatilia maisha ya watu, ujue bado hujajua thamani ya sekunde zako. Muda ukishapita haurudi, na kila dakika unayopoteza ni fursa ya kujiimarisha inayotokomea. Leo, piga hesabu: masaa yako 24 unayatumia kuzalisha nini?

Ishi kitaalamu
12/05/2026

Ishi kitaalamu

Maneno magumu
12/05/2026

Maneno magumu

Ishi kitaaalamu!
11/05/2026

Ishi kitaaalamu!

Ishi kwa akili
11/05/2026

Ishi kwa akili

11/05/2026

Maisha hayajawahi kuwa na usawa (fair). Kuna watu wataanza wakiwa na kila kitu na wewe utaanza ukiwa huna hata viatu. Kulalamika kuhusu kutokuwa na usawa ni kupoteza muda. Kubali kadi ulizopewa na ucheze mchezo wako kwa akili. Dunia haina tuzo kwa anayelalamika zaidi, ina taji kwa yule aliyepigana na kushinda licha ya mazingira magumu."

Uzuri wa sura bila akili ni k**a gari la kifahari lisilo na injini; utavutia watu kukuangalia, lakini hutaweza kumpeleka...
10/05/2026

Uzuri wa sura bila akili ni k**a gari la kifahari lisilo na injini; utavutia watu kukuangalia, lakini hutaweza kumpeleka yeyote popote. Ujana na uzuri ni vitu vya muda mfupi vinavyonyauka. K**a utegemezi wako wote upo kwenye muonekano wako, jiandae kuwa 'expired product' miaka michache ijayo. Jenga akili, jenga tabia, na jenga mfumo wa maisha

Cheti chako cha chuo ni karatasi tu k**a huna ujuzi unaoweza kutatua matatizo ya watu. Dunia hailipi watu kwa sababu 'wa...
08/05/2026

Cheti chako cha chuo ni karatasi tu k**a huna ujuzi unaoweza kutatua matatizo ya watu. Dunia hailipi watu kwa sababu 'wanajua' vitu, inalipa watu kwa sababu 'wanafanya' vitu. Usijisifu kwa kuwa na degree wakati mfuko wako una degree za baridi. Shule ilikufundisha kufuata maelekezo, maisha yanakufundisha kuvunja kanuni ili ufanikiwe

Muda ni rasilimali pekee ambayo tajiri na maskini wanapewa sawa, lakini matumizi ndiyo yanatofautisha maisha yao. Dakika...
07/05/2026

Muda ni rasilimali pekee ambayo tajiri na maskini wanapewa sawa, lakini matumizi ndiyo yanatofautisha maisha yao. Dakika unayopoteza kubishana mtandaoni au kufuatilia maisha ya watu mashuhuri, ndiyo dakika ambayo mpinzani wako anaitumia kujenga himaya yake. Dunia haina 'replay'. Ukipoteza ujana wako kwenye ujinga, uzee wako utakuwa ni simulizi za masikitiko."

Address

Yurisdutch@gmail. Com
Nachingwea
216

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yuris Dutch posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Yuris Dutch:

Share

Category