10/09/2026
Leo, tarehe 10 Septemba 2026, Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kuzuia Kujitoa Uhai Duniani (World Su***de Prevention Day), siku inayolenga kuongeza uelewa kuhusu kujitoa uhai na kuhamasisha juhudi za pamoja za kuzuia vifo vinavyoweza kuzuilika.
Katika Hospitali yetu tunatoa huduma za kibingwa za changamoto ya afya ya akili, Karibu tukuhudumie.