Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Mpanda-MPANDAWSSA

Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Mpanda-MPANDAWSSA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Mpanda-MPANDAWSSA, Government Organization, P. O. BOX 67 Mpanda-Katavi, Mpanda.

Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Mpanda(MPANDA-WSSA) ni Taasisi ya Serikali iliyopo chini ya Wizara ya Maji ambayo inajihusisha na Utoaji wa Huduma ya Usambazaji MajiSafi Katika Manispaa ya Mpanda ,Mkoa wa Katavi. Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Mpanda(MPANDA-WSSA) ni Taasissi ya Serikali iliyopo chini ya Wizara ya Maji ambayo inajihusisha na Utoaji wa Huduma ya Usambazaji wa MajiSafi katika Manispaa ya Mpanda,Mkoa wa Katavi.

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mpanda inaendelea na zoezi la kugawa na kutoa vifaa vya maunganisho mapya ya h...
14/03/2025

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mpanda inaendelea na zoezi la kugawa na kutoa vifaa vya maunganisho mapya ya huduma ya majisafi ambapo leo tarehe 14/3/2025 imekabidhi vifaa kwa wateja 51 ambao wamekamilisha malipo yao katika maeneo mbalimbali katika Manispaa ya Mpanda.

Aidha kupitia zoezi hilo elimu mbalimbali zimeendelea kutolewa ikiwemo utunzaji wa miundombinu ya maji, matumizi sahihi ya maji na njia rasmi za malipo ya kiserikali, njia za mawasiliano na huduma nyingine zitolewazo na Muwasa.

Kwa msaada wasiliana nasi kupitia namba ya huduma kwa wateja namba 0800110124 (Bure) MUWASA

Address

P. O. BOX 67 Mpanda-Katavi
Mpanda

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Mpanda-MPANDAWSSA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Mpanda-MPANDAWSSA:

Share