Uvccm wilaya Masasi

Uvccm wilaya Masasi kulinda na kujenga ujamaa

12/10/2022

Taarfa kwa umma
mwenyekiti Uvccm wilaya ya masasi Ndug Seiph A.J. Namtusi leo amefanya mazungumzo na mkuu wa wilaya masasi Claudia Kitta ametumia fursa hiyo kujitambulisha na kuomba ushirikiano aidha Mh DC alimpongeza kwa ushindi na kuwa kiongozi wa taasisi kubwa ndani ya chama pia alimshauri kufanya kazi zake bila kugawa vijana na kutumia mda mwingi kuwaunganisha vijana na kuhakikisha vijana wanafanya kazi mazungumzo hayo yalikuwa na tija saana kwa vijana na mwenyekiti alipokea ushauri huo naku ahidi kuwatumikia vijana kadri ya uwezo wake pia mwenyekiti alifanya mazungumzo na mkuu wa kituo cha polisi masasi

Kidumu chama Cha Mapunduzi
kidumu chama Tawala
Vijana jeuri ya chama

Address

Masasi
Masasi

Telephone

+255673955502

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uvccm wilaya Masasi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share