Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma

Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Huu ni ukurasa maalumu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma (Kigoma District Council) ili kujitangaza na kutoa habari mbalimbali kwa jamii.

02/11/2022
Mradi wa mtoto mwerevu uliojulikana k**a (ASTUTE Project) uliokuwa unafadhiliwa na shirika la IMA World Health katika Ha...
24/02/2020

Mradi wa mtoto mwerevu uliojulikana k**a (ASTUTE Project) uliokuwa unafadhiliwa na shirika la IMA World Health katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wafikia tamati. Pichani ni afisa lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma akitoa ripoti ya hali ya lishe katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma. mbele ya k**ati ya lishe katika kikao cha kuhitimisha mradi huo. Kikao hicho kinafanyika kwa siku mbili kuanzia tarehe 24-25 February 2020.

Mradi wa mtoto mwerevu uliojulikana k**a (ASTUTE Project) uliokuwa unafadhiliwa na shirika la IMA World Health katika Ha...
24/02/2020

Mradi wa mtoto mwerevu uliojulikana k**a (ASTUTE Project) uliokuwa unafadhiliwa na shirika la IMA World Health katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wafikia tamati. Pichani ni mdau kutoka shirika hilo Mr. Mziray akichangia mada katika kikao cha kuhitimisha mradi huo katika halmashauri ya Wilaya ya Kigoma. Kikao hicho kinafanyika kwa muda wa siku mbili kuanzia tarehe 24-25 February 2020

Mradi wa mtoto mwerevu uliojulikana k**a (ASTUTE Project) uliokuwa unafadhiliwa na shirika la IMA World Health katika Ha...
24/02/2020

Mradi wa mtoto mwerevu uliojulikana k**a (ASTUTE Project) uliokuwa unafadhiliwa na shirika la IMA World Health katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wafikia tamati. Pichani ni k**ati ya lishe na wadau mbalimbali wakifuatilia kikao cha kuhitimisha mradi huo katika halmashauri ya Wilaya ya Kigoma.

Mradi wa mtoto mwerevu uliojulikana k**a (ASTUTE Project) katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma uliokuwa unafadhiliwa n...
24/02/2020

Mradi wa mtoto mwerevu uliojulikana k**a (ASTUTE Project) katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma uliokuwa unafadhiliwa na shirika la IMA World Health wafikia tamati. Pichani Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Mh. Samson Anga (aliyesimama) akifungua mkutano wa kuhitimisha mradi huo katika halmashauri ya Wilaya ya Kigoma.

Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imekagua ujenzi wa soko katika kata ya Mwandiga, ...
05/02/2020

Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imekagua ujenzi wa soko katika kata ya Mwandiga, pichani ni muonekano wa soko hilo.

Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imekagua ujenzi wa maktaba ya wanafunzi katika sh...
05/02/2020

Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imekagua ujenzi wa maktaba ya wanafunzi katika shule ya sekondari Mwandiga. Pichani ni muonekano wa Maktaba hiyo la shule iliyopo Halmashuri ya wilaya ya Kigoma.

Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imekagua ujenzi wa Bwalo ya wanafunzi katika shul...
05/02/2020

Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imekagua ujenzi wa Bwalo ya wanafunzi katika shule ya sekondari Mwandiga. Pichani ni muonekano wa Bwalo hilo la shule iliyopo Halmashuri ya wilaya ya Kigoma.

Muonekano wa soko linalojengwa katika kata ya Kalinzi iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma
05/02/2020

Muonekano wa soko linalojengwa katika kata ya Kalinzi iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma

Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma ikikagua ujenzi wa vyoo vya soko katika kata ya K...
05/02/2020

Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma ikikagua ujenzi wa vyoo vya soko katika kata ya Kalinzi iliyopo Halmashuri ya wilaya ya Kigoma

Muonekano wa Mwalo uliojengwa katika kijiji cha Kalalangabo kilichopo Halmashuri ya wilaya ya Kigoma.
05/02/2020

Muonekano wa Mwalo uliojengwa katika kijiji cha Kalalangabo kilichopo Halmashuri ya wilaya ya Kigoma.

Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma ikikagua ujenzi wa Mwalo katika kijiji cha Kalala...
05/02/2020

Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma ikikagua ujenzi wa Mwalo katika kijiji cha Kalalangabo kilichopo Halmashuri ya wilaya ya Kigoma. Kulia ni Afisa Uvuvi Aziz Daudi.akitoa maelezo kwa k**ati.

Address

Mahemnbe
Mahembe

Opening Hours

Monday 08:00 - 15:30
Tuesday 08:00 - 15:30
Wednesday 08:00 - 15:30
Thursday 08:00 - 15:30
Friday 08:00 - 15:30

Telephone

+255282802719

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma:

Share