UVCCM Karagwe, Kagera

UVCCM Karagwe, Kagera Political platform

Karibuni MAMA Karagwe tunakupenda UVCCM wilaya ya karagwe chini ya mwenyekiti Ndg. Alexius Sylivester inamkaribisha mwen...
07/06/2022

Karibuni MAMA Karagwe tunakupenda
UVCCM wilaya ya karagwe chini ya mwenyekiti Ndg. Alexius Sylivester inamkaribisha mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM taifa kwenye ziara yake Mkoani Kagera.
UVCCM UVCCM (TANZANIA)UVCCM (TANZANIA)UVCCM (TANZANIA)






Kheri ya sikukuu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar 26 Aprili 1964-2022.  IMARA INAANZA NA MIMI SHIRIKI UCHAGUZI KIKA...
26/04/2022

Kheri ya sikukuu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar 26 Aprili 1964-2022.
IMARA INAANZA NA MIMI SHIRIKI UCHAGUZI KIKAMILIFU



UVCCM-Karagwe inawatakia kheri ya sikukuu ya pasaka wanajumuiya ya uvccm_karagwe na watanzania wote
17/04/2022

UVCCM-Karagwe inawatakia kheri ya sikukuu ya pasaka wanajumuiya ya uvccm_karagwe na watanzania wote




Kheri ya kumbukizi ya kifo  cha Sheikh Abeid Amani Karume 4 August 1905- 7 April 1972      UVCCM UVCCM (TANZANIA)UVCCM (...
07/04/2022

Kheri ya kumbukizi ya kifo cha Sheikh Abeid Amani Karume 4 August 1905- 7 April 1972 UVCCM UVCCM (TANZANIA)UVCCM (TANZANIA)UVCCM (TANZANIA)

Ni Kipindi cha Toba na kumrudia Mwenyezi Mungu kwa Maana ndiye asitahiliyeMuwe na mfungo mwema wa Ramadhan waislam wote ...
03/04/2022

Ni Kipindi cha Toba na kumrudia Mwenyezi Mungu kwa Maana ndiye asitahiliye
Muwe na mfungo mwema wa Ramadhan waislam wote duniani kote🙏🕌





Mfungo mwema Ndg.Wakristo Duniani Kotetudumishe amani upendo na mshikamano.Kidumu chama cha mapinduzi  mama vijana tupo
06/03/2022

Mfungo mwema Ndg.Wakristo Duniani Kote
tudumishe amani upendo na mshikamano.
Kidumu chama cha mapinduzi
mama vijana tupo

Twende Tukakidumishe chama cha mapinduziMaadhimisho ya miaka 45 ya ccm wikaya ya karagwe rasmi yamefungukiwa leo 21 janu...
21/01/2022

Twende Tukakidumishe chama cha mapinduzi
Maadhimisho ya miaka 45 ya ccm wikaya ya karagwe rasmi yamefungukiwa leo 21 january 2022 Kata kamagambo kijiji Kafunjo

Salam za pongezi kwa Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kuteuliwa na kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti w...
21/01/2022

Salam za pongezi kwa Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kuteuliwa na kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wa chama Mh. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa kiti cha spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania👍

MAADHIMISHO YA MIAKA 45 YA CCM WILAYANI KARAGWE YANAYOTARAJIA KUFANYIKA KATA YA KAMAGAMBO.MGENI Raami Ndg. Christopher P...
14/01/2022

MAADHIMISHO YA MIAKA 45 YA CCM WILAYANI KARAGWE YANAYOTARAJIA KUFANYIKA KATA YA KAMAGAMBO.
MGENI Raami Ndg. Christopher Pallangyo Katibu CCM MKOA WA KAGERA
IG: UVCCM Karagwe_Kagera

UVCM Karagwe_Kagera Tunachukua nafasi hii.kukupongeza Mh. Innocent Bashungwa Mbunnge wa Wilaya ya Karagwe kupitia Chama ...
08/01/2022

UVCM Karagwe_Kagera
Tunachukua nafasi hii.kukupongeza Mh. Innocent Bashungwa Mbunnge wa Wilaya ya Karagwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kwa kuaminiwa na Mh. Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Samia S Hassan na kukuteua kuwa waziri wa ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.
(TAMISEMI)

karibu kulike kushare na kukomenti kwwnye page yetu ya UVCCM Karagwe
05/01/2022

karibu kulike kushare na kukomenti kwwnye page yetu ya UVCCM Karagwe


Address

Karagwe
Kayanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UVCCM Karagwe, Kagera posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share