26/09/2018
*DAR ES SALAAM OYEE*
UVCCM MKOA WA *DSM* Tunawatangazia vijana wote wa mkoa wa Dsm bila kujali itikadi zetu kesho *Alhamis* Tar *27/9/2018* Saa 3:00 Asubuhi Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania *DR JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI* Atakuwa anazindua BARABARA ZA JUU *FLY OVER* TAZARA. Hivyo basi vijana wote Tujitokeze k**a *Wote* katika Eneo la Tazara Katika kuonesha Tunaunga Mkono Juhudi zinazofanywa na Serikali yetu ya Kutekeleza *Ilani ya Uchaguzi ya CCM* KWA VITENDO.
*HAKUNA HAKI BILA WAJIBU*
*FRANK MANG'ATI KATIBU WA HAMASA NA CHIPUKIZI MKOA WA DAR ES SALAAM*