National Sports Council of Tanzania

National Sports Council of Tanzania Official page of The National Sports Council of Tanzania which was enacted by the Act of the Parliament of the United Republic of Tanzania

FUNCTIONS OF THE NATIONAL SPORTS COUNCIL OF TANZANIA
The National Sports Council of Tanzania was enacted by the Act of the Parliament of the United Republic of Tanzania No: 12 of 1967 and its amendments Act No: 6 of 1971. The act gives the council a supreme power to supervise all kind of sports in the country both professional and amateur. In summary, the National Council of Tanzania does the foll

owing functions:
• To develop, promote and control all forms of sports on a national basis in collaboration with sports organizations
• To encourage and facilitate cooperation among the various national sports associations/federations
• To arrange with local authorities for provision of sporting facilities at all levels and,
• To plan and advise the Ministry responsible for sports on the general policy of sports promotion in the country

BARAZA LA MICHEZO LA MICHEZO LA TAIFA (BMT)
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) liliundwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Sheria Na.12 ya Mwaka 1967 na Marekebisho yake Na. 6 ya 1971 ya Baraza la Michezo la Taifa. Sheria imelipa Baraza la Michezo Jukumu la kusimamia michezo yote nchini. MAJUKUMU YA BARAZA LA MICHEZO LA TAIFA NI:
• Kuendeleza, kustawisha na kudhibiti aina zote za Michezo kitaifa kwa ushirikiano na vyama au vikundi vya michezo
• Kuhimiza na kutoa fursa za ushirikiano miongoni mwa vyama mbalimbali vya Taifa.
• Kuidhinisha mashindano ya kitaifa na ya kimataifa katika michezo na matamasha yaliyoandaliwa na vyama vya kitaifa na vyama vingine.
• Kupanga kwa kushirikiana na serikali za mitaa kwa ajili ya kutenga maeneo kwa ajili ya michezo – kuhamasisha ushiriki wa jamii katika michezo
• Kupanga na kuishauri Wizara yenye dhamana ya Michezo juu sera ya ukuzaji wa michezo nchini.

11/11/2023

TIMU YA TAIFA YA KRIKETI WANAWAKE KUWEKA KAMBI HONG KONG CHINA KUJIANDAA NA MASHINDANO YA KUFUZU KOMBE LA DUNIA MWEZI DISEMBA

vishale yaagwa
09/11/2023

vishale yaagwa

Vyama na Mashirikisho watakiwa kuhakiki taarifa zao
09/11/2023

Vyama na Mashirikisho watakiwa kuhakiki taarifa zao

04/11/2023

Waandaaji wa mbio watakiwa kushirikisha Watu wenye mahitaji maalum.

Msimu wa Tano wa Mashindano ya Riadha ya Wanawake Novemba 24 - 26, 2023 Jijini Dar es salaam.
04/11/2023

Msimu wa Tano wa Mashindano ya Riadha ya Wanawake Novemba 24 - 26, 2023 Jijini Dar es salaam.

04/11/2023

Mwanamke Afya Marathon(MAM MARATHON)

02/11/2023

Msimu wa tano mashindano ya riadha Wanawake(Ladies First)

Katibu Mkuu Msigwa ateta na MabondiaKatibu mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo, Gerson Msigwa mapema asubuhi y...
01/11/2023

Katibu Mkuu Msigwa ateta na Mabondia

Katibu mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo, Gerson Msigwa mapema asubuhi ya Novemba Mosi amekutana mabondia walioshinda mapambano yao ya mikanda ya ubingwa wa Baraza la Ngumi Duniani, WBC na ubingwa wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini TPBRC katika ofisi za Baraza la Michezo BMT.

Mabondia hao ambao ni Fadhili Majiha aliyeshinda mkanda wa Ubingwa wa WBC Afrika alioshinda kwa kumshinda Bongani Mahlangu wa Afrika Kusini wakati Pius Mpenda akishinda mkanda wa WBC Peace nchini Uturuki kwa kumchapa Dauren Yeleussino wa Kazakhstan huku Ibrahim Class akishinda ubingwa wa Taifa wa TPBRC dhidi ya Xiao Tau Su wa China.

Msigwa amewataka mabondia hao kuhakikisha wanaweza kujitunza ili waendelee kufanya vizuri katika mapambano yao wanayocheza kimataifa huku akitoa ahadi ya serikali chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwaunga mkono kwenye mchezo huo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa akipokea taarifa fupi ya BMT kutoka kwa Katibu Mtenda...
01/11/2023

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa akipokea taarifa fupi ya BMT kutoka kwa Katibu Mtendaji Bi. Neema Msitha leo Novemba 01, 2023 wakati alipokutana na Menejimenti ya Baraza hilo akiwa katika ziara yake ya kwanza katika taasisi hiyo baada ya kuteuliwa na Mhe. Rais wa awamu sita Dkt. Samia Suluhu kuongoza Wizara hiyo.

Katibu Mkuu Gerson Msigwa Novemba Mosi, 2023 akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Baraza la Michezo la Taifa (BM...
01/11/2023

Katibu Mkuu Gerson Msigwa Novemba Mosi, 2023 akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) wakati wa ziara yake kikazi katika Taasisi hiyo inayosimamia michezo siku chache baada ya kuteuliwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuongoza Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.

01/11/2023

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa, leo tarehe 1 Novemba, 2023 Uwanja wa Benjamin Mkapa, amewapongeza mabondia Pius Mpenda aliyeshinda mkanda wa WBC Peace, Fadhil Majiha aliyeshinda mkanda wa WBC Africa na Ibrahim Class aliyeshinda mkanda wa TPBRC katika mapambano yao waliyocheza tarehe 28 na 29 Oktoba, 2023.

31/10/2023

TAFF wapokea vifaa vya michezo kutoka K4S

Address

MKAPA STADIUM, 2nd Floor, TAIFA Road, DAR-ES-SALAAM
Dar Es Salam
MKAPANATIONALSTADIUM

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:00
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 03:00
Friday 07:30 - 15:30
Sunday 07:30 - 15:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when National Sports Council of Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to National Sports Council of Tanzania:

Share