National Identification Authority - NIDA

National Identification Authority - NIDA Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa - NIDA

05/06/2026

Wow.... big up, huduma zipi nyingine ungependa zipatikane kwa kutumia Kitambulisho cha Taifa?

Tuambie kwenye comments.

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imechangia uzoefu wake katika mjadala wa kujenga Mfumo wa Mawasiliano ya Serika...
03/06/2026

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imechangia uzoefu wake katika mjadala wa kujenga Mfumo wa Mawasiliano ya Serikali wenye dira moja, sauti moja na uratibu wa pamoja kwenye "Dira2050", ikiwa ni sehemu ya Mkutano Mkuu wa Maafisa Mawasiliano wa Serikali unaofanyika jijini Mwanza.

Mkutano huo umefunguliwa rasmi tarehe 2 Juni 2026, na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Said Mohamed Mtanda, na kuhudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa.

Akizungumza katika mkutano huo, Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali (TAGCO), Karim Meshaki, alieleza mipango ya chama hicho katika kuongeza weledi wa wanachama wake, kuimarisha mifumo ya uendeshaji wa shughuli za chama kupitia TEHAMA, pamoja na maandalizi ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa ujenzi wa Makao Makuu ya TAGCO jijini Dodoma.

Katika mkutano huo, Sarah Reuben, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Hifadhi Hati - NIDA, alishiriki uzoefu wake katika sekta ya mawasiliano kupitia mada ya โ€œOne Nation, One Vision: Building a Whole-of-Government Communication System for Vision 2050,โ€ ambapo alisisitiza umuhimu wa taarifa sahihi, uratibu wa pamoja na mawasiliano ya Serikali yanayomfikia mwananchi kwa wakati na kwa lugha inayoeleweka.

Kupitia ushiriki huo, NIDA imeonesha dhamira yake ya kuendelea kuboresha mawasiliano ya kitaasisi katika kuelimisha wananchi kuhusu usajili, utambuzi na matumizi ya Kitambulisho cha Taifa k**a nyenzo muhimu ya kupata huduma mbalimbali za kijamii na kiuchumi.

Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka 2026/2027
29/05/2026

Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka 2026/2027

Eid Al Adha Mubarak ๐ŸŒ™Tunawatakia watanzania wote na Eid yenye amani, furaha na baraka tele. ๐ŸŒ™๐Ÿ•Œโค๏ธ
27/05/2026

Eid Al Adha Mubarak ๐ŸŒ™
Tunawatakia watanzania wote na Eid yenye amani, furaha na baraka tele.

๐ŸŒ™๐Ÿ•Œโค๏ธ

25/05/2026

Waajiri na Wafanyakazi kuhakikishiwa usalama wao. Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

25/05/2026

Serikali kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa wananchi. Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

25/05/2026

Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

Bungeni Leo ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
25/05/2026

Bungeni Leo ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuwafahamisha wananchi kuwa wanaweza kufuatilia mubashara Hotuba ya Ba...
25/05/2026

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuwafahamisha wananchi kuwa wanaweza kufuatilia mubashara Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi inayowasilishwa leo Bungeni.

Matangazo hayo yanapatikana kupitia ukurasa rasmi wa YouTube wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).

Tafadhali tumia kiunganishi kilichowekwa hapa kufuatilia.

https://www.youtube.com/live/5iGD8ZigXgQ?si=KpmJkr2fvpiUxAlw

24/05/2026

Usikose kufuatilia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027, itakayosomwa tarehe 25 Mei, 2026.

Donโ€™t miss the Budget Speech of the Ministry of Home Affairs for the Financial Year 2026/2027, to be delivered on 25 May, 2026.

Address

12324
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when National Identification Authority - NIDA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share