Msanii wa Kweli Tanzania

Msanii wa Kweli Tanzania KARIBUNI UWANJA WA BURUDANI HUU UWANJA WA HABARI MBALIMBALI ZA WASANII MBALIMBALI WA TANZANIA TU BILA KUJALI U-SUPERSTAR AU UNDERGROUND.

WANAORUHUSIWA KUPOST HUMU NI WANACHAMA WA HII PAGE TU

ELIZABETH MICHAEL 'LULU' AONYESHA TATUU YAKE ILIYOANDIKWA "ONLY GOD CAN JUDGE ME"Ikiwa ni muda mfupi tu tangu staa wa Bo...
23/02/2014

ELIZABETH MICHAEL 'LULU' AONYESHA TATUU YAKE ILIYOANDIKWA "ONLY GOD CAN JUDGE ME"
Ikiwa ni muda mfupi tu tangu staa wa Bongo Movie Elizabeth Michael 'Lulu' alipoandika kupitia ukurasa wake wa Facebook kwamba watu wanaendelea kumuandama japo hakusema ni juu ya nini.Kwa sasa ameweka picha kwenye ukurasa wake huo wa Facebook inayoonyesha alama ya 'tatuu' iliyoandiikwa "Only God can Judge me". Muigizaji huyo ambaye kila siku huibuka na picha ya pozi moja, mbili au tatu na kuitupia mitandaoni, ameweka picha zake ndani ya siku tatu k**a ifuatavyo:

Ikiwa ni muda mfupi tu tangu staa wa Bongo Movie Elizabeth Michael 'Lulu' alipoandika kupitia ukurasa wake wa Facebook kwamba watu wanaendelea kumuandama japo hakusema ni juu ya nini.Kwa sasa ameweka picha kwenye ukurasa wake huo wa Facebook inayoonyesha alama ya 'tatuu' iliyoandiikwa "Only God can Judge me". Muigizaji huyo ambaye kila siku huibuka na picha ya pozi moja, mbili au tatu na kuitupia mitandaoni, ameweka picha zake ndani ya siku tatu k**a ifuatavyo: ELIZABETH MICHAEL 'LULU' AONYESHA TATUU YAKE ILIYOANDIKWA "ONLY GOD CAN JUDGE ME"

Ikiwa ni muda mfupi tu tangu staa wa Bongo Movie Elizabeth Michael 'Lulu' alipoandika kupitia ukurasa wake wa Facebook kwamba watu wanaendelea kumuandama japo hakusema ni juu ya nini.Kwa sasa ameweka picha kwenye ukurasa wake huo wa Facebook inayoonyesha alama ya 'tatuu' iliyoandiikwa "Only God can Judge me". Muigizaji huyo ambaye kila siku huibuka na picha ya pozi moja, mbili au tatu na kuitupia mitandaoni, ameweka picha zake ndani ya siku tatu k**a ifuatavyo:

BOOOONGE la NGOMA kutoka kwa MANGINJA linaitwa KITOTOTOTO pata flavour, ya ukweli.  http://youtu.be/hYxIX9XilAQ
17/02/2014

BOOOONGE la NGOMA kutoka kwa MANGINJA linaitwa KITOTOTOTO pata flavour, ya ukweli. http://youtu.be/hYxIX9XilAQ

prduced by chiddy bway video by Skillz Video Directed by PIZZO MTENA

NJIWA COOLDADDY msanii wa comedy ameachia NGOMA ya ukweli inakwenda kwa jina la ZALI LANGU lengo likiwa kuwaburudisha za...
16/02/2014

NJIWA COOLDADDY msanii wa comedy ameachia NGOMA ya ukweli inakwenda kwa jina la ZALI LANGU lengo likiwa kuwaburudisha zaidi washabiki wake. hebu cheki mauno ya KINGWENDU..... http://youtu.be/MC8gzwmTODI

ARTIST;NJIWA SONG;ZALI LANGU DIRECTED BY PIZZO MTENA SKILLZ VIDEOZ.

HILI NDIO STUDIO LA MRISHO MPOTO INAITWA Waite Records
13/02/2014

HILI NDIO STUDIO LA MRISHO MPOTO INAITWA Waite Records

Msanii wa tasnia ya uchekeshaji toka kundi la FUTUHI linalo rusha kazi zake kupitia Star TV, Mzee Dude amefariki dunia j...
28/01/2014

Msanii wa tasnia ya uchekeshaji toka kundi la FUTUHI linalo rusha kazi zake kupitia Star TV, Mzee Dude amefariki dunia jana mida ya saa 11 jioni akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Bugando ya jijini Mwanza ambako alilazwa mara baada ya kuzidiwa ugonjwa wa muda mrefu aliokuwa nao kwa figo kushindwa kufanya kazi.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEM AMEEN

Sudi Mohamed, 'MCD' (pichani chini) ambaye ni mpinga tumba maarufu nchini Tanzania amefariki dunia usiku huu akiwa Moshi...
28/01/2014

Sudi Mohamed, 'MCD' (pichani chini) ambaye ni mpinga tumba maarufu nchini Tanzania amefariki dunia usiku huu akiwa Moshi ambako alikwenda kwa ajili ya matiabu zaidi yapata miezi mitatu iliyopita. Kwa mujibu wa kiongozi mmoja wa Bendi ya Twanga Pepeta, Meneja Hassani, MCD alipelekewa nauli ya kurudi jijini Dar esalaam leo ili arejee kesho lakini mauti yakamfika usiku mida ya saa tano na nusu. MCD amewahi kupiga katika bendi kadhaa za muziki wa dansi ikiwemo Mashujaa Band na African Stars ambako alirejea tena. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi - ameen!

16/01/2014
15/01/2014

B12, ADAM MCHOMVU NA DIVA WAMEPIGWA CHINI CLOUDS FM
Stori: MUSA MATEJA
WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamepigwa chini na kituo hicho, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi

Habari za chini kwa chini kutoka kwa chanzo chetu zinasema kuwa uongozi wa Clouds umefikia hatua hiyo baada ya kuchoshwa na tabia ya utovu wa nidhamu wa watangazaji hao.

Hata hivyo, madai ya mitaani yanasema kwamba watangazaji hao wamepigwa chini kwa kosa la kukacha sherehe za maadhimisho ya miaka 14 ya Clouds FM,yaliyofanyika hivi karibuni katika Viwanja vya Mwembeyanga, Temeke, Dar.

Risasi Mchanganyiko lilimvutia waya Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba na kumwuliza juu ya ishu hiyo ambapo alikiri.

“Ni kweli tumefikia uamuzi wa kuwasimamisha B 12, Diva na Mchomvu baada ya kukiuka baadhi ya makubaliano baina yao na ofisi hivyo kusababisha usumbufu mkubwa ambao ulitulazimu kuingia gharama ambazo hazikutarajiwa.

“Hatutakuwa nao kwa muda usiojulikana ingawa watu wengi wamekuwa wakinihoji juu ya hilo lakini watachotakiwa kuelewa ni kwamba hakuna ofisi isiyokuwa na sheria na taratibu za kuongoza watu wake, sasa hao wamevunja taratibu zetu,” alisema Ruge bila kufafanua zaidi.

Alipoulizwa ni taratibu zipi watangazaji hao walizovunja alisema: “Nashindwa kueleza kosa la kila mmoja ila naomba nieleweke kuwa hao watangazaji kwa sasa tumewasimamisha kwa muda usiojulikana wakati tukifikiria cha kufanya. Muhimu hapo ni kwamba wamekwenda kinyume na tulivyokubaliana.”

MUHIMU SANA! Mpigie kura Juma Rajab Rashid a.k.a Cheche ili aweze kushinda tuzo ya Muigizaji Bora wa Kiume kwenye Tamthi...
15/01/2014

MUHIMU SANA! Mpigie kura Juma Rajab Rashid a.k.a Cheche ili aweze kushinda tuzo ya Muigizaji Bora wa Kiume kwenye Tamthilia kwa kutuma ujumbe mfupi kwenda namba +2783142100415 au kwenye mtandao- huu http://goo.gl/o72lu5 ! Kumbuka kuwa unaweza kupiga kura mara nyingi zaidi kila baada ya saa moja. Umoja wetu ni Ushindi kwa Mtanzania mwenzetu. Mwabie na Mwezako. Cha nyumbani kwanza!!!

The Africa Magic Viewers' Choice Awards

DIAMOND The Platnums NDANI YA MJENGO BONGO RECORDS AKIWA NA MTU MZIMA PROF, JAY  CHINI YA MAJANI WAKIANDAA BONGE LA NGOM...
14/01/2014

DIAMOND The Platnums NDANI YA MJENGO BONGO RECORDS AKIWA NA MTU MZIMA PROF, JAY CHINI YA MAJANI WAKIANDAA BONGE LA NGOMA LINAKWENDA KWA JINA LA ??? Tuisubiri Tuone Itakua k**a Number 1 au vp?

DIAMOND THE PLATINUM AKIWA NA WATOTO KATIKA VIWANJA READERSSIKU YA X-MASS TAREHE 25/ 12/ 2013
01/01/2014

DIAMOND THE PLATINUM AKIWA NA WATOTO KATIKA VIWANJA READERS
SIKU YA X-MASS TAREHE 25/ 12/ 2013

SIR NATURE a.k.a KIBLA
01/01/2014

SIR NATURE a.k.a KIBLA

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Msanii wa Kweli Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category