Mpango wa Taifa wa Damu Salama - NBTS - Tanzania

Mpango wa Taifa wa Damu Salama - NBTS - Tanzania Ukurasa rasmi wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama Tanzania, chini ya Wizara ya Afya.

The National Blood Transfusion Service (NBTS) Policy Guidelines aim at providing guidance towards the establishment of well-organized blood transfusion services, in line with the World Health Assembly Resolution WHA 28.72 (adopted in 19th May 1975) that urges all member states to develop comprehensive and well-coordinated blood transfusion service based on voluntary, non-remunerated blood donation.

Mashabiki wa Arsenal wanaendelea kuonyesha uzalendo na ubinadamu kwa kushiriki zoezi la uchangiaji damu katika siku ya C...
30/05/2026

Mashabiki wa Arsenal wanaendelea kuonyesha uzalendo na ubinadamu kwa kushiriki zoezi la uchangiaji damu katika siku ya Champions Day yanayoendelea Viwanja vya Posta, Kijitonyama.

Wakati tukisubiri tamko la Mheshimiwa Waziri wa Afya kuelekea Siku ya Mchangiaji Damu Duniani, tunakukaribisha nawe kuwa sehemu ya kuokoa maisha.

K**a uko maeneo haya au jirani, fika katika banda la Mpango wa Taifa wa Damu Salama uchangie damu na utoe tumaini kwa wanaohitaji huduma ya damu salama.

🩸 Changia Damu, Okoa Maisha.

Wizara ya Afya, kupitia Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS), inakukaribisha kushiriki katika Kampeni ya Kitaifa ya Kuc...
29/05/2026

Wizara ya Afya, kupitia Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS), inakukaribisha kushiriki katika Kampeni ya Kitaifa ya Kuchangia Damu kuanzia tarehe 1 hadi 14 Juni 2026.
Tone moja la ubinadamu. Changia damu, okoa maisha. 🩸✨
Kuelekea kilele cha Siku ya Mchangia Damu Duniani, ungana na Watanzania wenzako nchi nzima kuonyesha upendo wa dhati kwa vitendo. Fika katika
Vituo vya damu salama kanda.
Hospitali za Rufaa kanda.
Hospitali za Mikoa.
Hospitali za Wilaya.
Maeneo ya wazi.
Kambi za Jeshi., au maeneo yote yatakayotangazwa karibu nawe .
Mchango wako ni uhai kwa mwingine! 🇹🇿


DamuSalama

26/05/2026
Watumishi wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama wakiendelea na kikao kazi cha kuandaa Mpango Mkakati (Strategic Plan) wa mia...
20/05/2026

Watumishi wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama wakiendelea na kikao kazi cha kuandaa Mpango Mkakati (Strategic Plan) wa miaka mitano, kinachofanyika mkoani Morogoro kuanzia tarehe 20–24 Mei 2026.

Kikao hiki kina lengo la kupanga mikakati ya kuimarisha huduma za damu salama nchini, kuongeza upatikanaji wa damu salama na kuhakikisha ubora wa huduma kwa wananchi.

Pamoja tunaendelea kujenga mfumo madhubuti wa damu salama kwa afya na maisha ya Watanzania. 🩸🇹🇿

AfyaKwaWote

Dharura haitoi taarifa. Ajali, upasuaji wa dharura, mama anayejifungua au mtoto anayehitaji matibabu anaweza kuhitaji da...
09/05/2026

Dharura haitoi taarifa. Ajali, upasuaji wa dharura, mama anayejifungua au mtoto anayehitaji matibabu anaweza kuhitaji damu wakati wowote. Changia damu leo ili kuhakikisha damu salama inapatikana kabla haijahitajika kuokoa maisha.

Address

Dar Es Salaam
P.O.BOX65019

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 18:00
Sunday 08:00 - 18:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mpango wa Taifa wa Damu Salama - NBTS - Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share