SIDO Tanzania

SIDO Tanzania SIDO was established as a parastatal organisation under Ministry of Trade, Industry and Marketing (now Ministry of Trade)

DAR ES SALAAM Jumuika nasi ni siku ya pekee sanaaaaa!!! SIDO ni  muhimili muhimu wa Serikali katika kuanzisha na kuendel...
12/06/2026

DAR ES SALAAM
Jumuika nasi ni siku ya pekee sanaaaaa!!! SIDO ni muhimili muhimu wa Serikali katika kuanzisha na kuendeleza viwanda vidogo nchini.

Njoo usikilize, Njoo ujifunze, Njoo upanue wigo wa mawasiliano na wajasiriamali wenzako, Njoo ukutane na watoa huduma katika sekta ya viwanda nchini wakuelezee ni namna gani unaweza kufaidika na huduma zinazotolewa.

KARIBU SANA!!!.


tz

MOROGOROMafunzo ya Uwezeshaji kwa Mameneja wa Mikoa na Maofisa wanaohusika na Utoaji wa Huduma ya Mikopo kwa Wajasiriama...
11/06/2026

MOROGORO
Mafunzo ya Uwezeshaji kwa Mameneja wa Mikoa na Maofisa wanaohusika na Utoaji wa Huduma ya Mikopo kwa Wajasiriamali yanaendelea Mkoani Morogoro kwa siku 3.

Lengo ni kuboresha ujuzi na maarifa ya utoaji huduma husika kisasa zaidi ili wajasiriamali waweze kunufaika na mikopo itolewayo na Serikali kupitia SIDO.

SIDO inatoa mikopo kwa ajili ya kuboresha mitaji ya kuanzisha na kuendesha miradi mbalimbali ya uzalishaji wa bidhaa mbalimbali yenye asilimia 9 tu kwa mwaka.

Tembelea tovuti yenu kwa maelezo zaidi
www.sido.go.tz

PAMOJA TUJENGE VIWANDA.

DAR ES SALAAM Siku ya Mjasiriamali Duniani, Karibu Tujumuike Sote.tz
11/06/2026

DAR ES SALAAM
Siku ya Mjasiriamali Duniani, Karibu Tujumuike Sote.
tz


ARUSHAKaribu upate fursa ya kuanzisha kiwanda cha Usindikaji wa Vyakula, Mboga na Matunda.PAMOJA TUJENGE VIWANDA.
09/06/2026

ARUSHA
Karibu upate fursa ya kuanzisha kiwanda cha Usindikaji wa Vyakula, Mboga na Matunda.
PAMOJA TUJENGE VIWANDA.

ARUSHAMafunzo yamekamilika. Anzisha Kiwanda na SIDO, Anza na Ulichonacho!!! Kazi na Utu, Tunasonga Mbele.
09/06/2026

ARUSHA
Mafunzo yamekamilika. Anzisha Kiwanda na SIDO, Anza na Ulichonacho!!!
Kazi na Utu, Tunasonga Mbele.


MTWARAPamoja tujenge Viwanda,
09/06/2026

MTWARA
Pamoja tujenge Viwanda,

MWANZAHakuna KIINGILIO, Karibu Sana.
08/06/2026

MWANZA
Hakuna KIINGILIO, Karibu Sana.

Address

Mfaume Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:30
Tuesday 08:00 - 16:30
Wednesday 08:00 - 16:30
Thursday 08:00 - 16:30
Friday 08:00 - 16:30

Telephone

+255222151948

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SIDO Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to SIDO Tanzania:

Share