Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Ukurasa rasmi wa Facebook wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

TUNAWASHUKURU WANA-ILALA KWA KUJUMUIKA KWA PAMOJA NA KUWASHANGALIA VIJANA WETU (SERENGETI BOYS) - MHE. EDWARD MPOGOLO, M...
02/06/2026

TUNAWASHUKURU WANA-ILALA KWA KUJUMUIKA KWA PAMOJA NA KUWASHANGALIA VIJANA WETU (SERENGETI BOYS) - MHE. EDWARD MPOGOLO, MKUU WA WILAYA YA ILALA

02/06/2026
02/06/2026
02/06/2026

KUTOKA VIWANJA VYA TABATA SHULE WANANCHI WAKIONGIZWA MKUU WA WILAYA YA ILALA MH EDWARD MPOGOLO WAKIFUATILIA MCHEZO WA FAINALI YA AFCON U17 KATI YA TANZANIA DHIDI YA SENEGAL

Mkuu wa wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo akiwa na Viongozi pamoja na Wadau mbalimbali wa michezo katika Viwanja vya T...
02/06/2026

Mkuu wa wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo akiwa na Viongozi pamoja na Wadau mbalimbali wa michezo katika Viwanja vya Tabata Shule Dar es Salaam mahali ambapo imewekwa big screen, tayari kuishuhudia fainali ya Kombe la Mataifa Afrika kwa vijana U17.

Fainali hiyo inatarajiwa kupigwa leo Juni 02, 2026 muda saa 4:00 usiku kati ya Senegal na Tanzania (Serengeti Boys)

TUPO LIVE KUTOKEA VIWANJA VYA TABATA SHULE TUKISUBIRI KUANGALIA FAINALI YA VIJANA WETU (SERENGETI BOYS) KUPITIA BIG SCRE...
02/06/2026

TUPO LIVE KUTOKEA VIWANJA VYA TABATA SHULE TUKISUBIRI KUANGALIA FAINALI YA VIJANA WETU (SERENGETI BOYS) KUPITIA BIG SCREEN.

LINAKUJA NYUMBANI!

Address

1, Mission Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam:

Share