24/04/2026
📣🌐 Celebrating Girls in ICT Day! Canada is working with to ensure girls in Tanzania gain the digital tools and training they need to learn, lead, and shape tomorrow’s tech landscape. 💻✨
📣🌐 Tunaadhimisha Siku ya Wasichana katika TEHAMA! Canada inashirikiana na kuhakikisha wasichana nchini Tanzania wanapata vifaa vya kidijitali na mafunzo wanayohitaji ili kujifunza, kuongoza, na kuunda mazingira ya teknolojia ya kesho. 💻✨
Zaidi ya wasichana 28,000 wanapata ujuzi wa kuunda mustakabali wa kesho.
Katika , tunaadhimisha wasichana wanaojenga mustakabali kupitia teknolojia. Katika Kigoma, Songwe, Tabora na Zanzibar, Canada’s International Development – Global Affairs Canada inaunga mkono kukuza ujuzi wa kidijitali kwa wasichana kwa kushirikiana na UNICEF TANZANIA kupitia vituo vya STEM vinavyotekelezwa na Inspire.
Kupitia mafunzo ya vitendo na ushauri, wanajenga kujiamini ili kubuni, kutatua changamoto na kuongoza katika ulimwengu wa kidijitali.
, kila haki!