Wakala Wa Ukaguzi Wa Madini Tanzania - TMAA

Wakala Wa Ukaguzi Wa Madini Tanzania - TMAA Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (Tanzania Minerals Audit Agency - TMAA) ni Wakala wa Serikali ulioanzishwa tarehe 2 Novemba, 2009.

Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (Tanzania Minerals Audit Agency - TMAA) ni Wakala wa Serikali ulioanzishwa tarehe 2 Novemba, 2009 chini ya Sheria ya Wakala wa Serikali, Sura ya 245. Wakala umerithi kazi na majukumu yaliyokuwa yakifanywa na Sehemu ya Ukaguzi wa Madini (Gold Audit Program- GAP) chini ya Idara ya Madini, Wizara ya Nishati na Madini. Lengo la Wakala ni kuhakikisha kwamba, S

erikali inapata mapato stahili kutoka kwenye shughuli za uzalishaji na biashara ya madini nchini kupitia usimamizi na ukaguzi makini wa shughuli za uchimbaji, na kuhakikisha kuwa shughuli hizo zinafanyika kwa kuzingatia uhifadhi na utunzaji thabiti wa mazingira katika maeneo ya migodi.

Address

Dar Es Salaam
P.O. BOX 23400

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30

Telephone

+255 22 2601819

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wakala Wa Ukaguzi Wa Madini Tanzania - TMAA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Wakala Wa Ukaguzi Wa Madini Tanzania - TMAA:

Share