Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala-WRRB

Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala-WRRB WRRB ni Bodi ya Usimamiz wa Stakabadhi za Ghala ambao hutoa ufikiaji wa masoko rasmi ya mikopo na bidhaa.

⏳ BADO SIKU 03 PEKEE! ⏳Muda unazidi kusonga kuelekea tukio kubwa la Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 20 ya WRRB! πŸŽ‰πŸ“ Tukut...
14/05/2026

⏳ BADO SIKU 03 PEKEE! ⏳

Muda unazidi kusonga kuelekea tukio kubwa la Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 20 ya WRRB! πŸŽ‰

πŸ“ Tukutane JKCC, Dodoma kuanzia Mei 17 - 19, 2026. Njoo tujadili na kujifunza zaidi kupitia kaulimbiu yetu inayoongoza maadhimisho haya: β€œMfumo Imara, Uchumi Endelevu”. Usipange kukosa!

TAARIFA KWA UMMA                      .hmwinyi
14/05/2026

TAARIFA KWA UMMA


.hmwinyi

MNADA WA UFUTA
14/05/2026

MNADA WA UFUTA

Muda unayoyoma kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 20 ya Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB)! πŸŽ‰Ni miong...
13/05/2026

Muda unayoyoma kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 20 ya Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB)! πŸŽ‰

Ni miongo miwili ya kuleta mapinduzi na uhakika katika sekta ya kilimo na biashara nchini Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ. Tunaenda kuadhimisha hatua hii kubwa tukiangazia ukuaji na tija kwa wakulima na wafanyabiashara wetu.

πŸ—“οΈ Tarehe: 17 – 19 Mei, 2026
πŸ“ Mahali: Jakaya Kikwete Convention Centre (JKCC), Dodoma
πŸ’‘ Kaulimbiu: β€œMfumo Imara, Uchumi Endelevu.”

Wadau wote wa kilimo, biashara, na uchumi mnaombwa mkae mkao wa kula!

Je, wewe utakuwepo Dodoma kuungana nasi?

Dondosha comment yako hapa chini au tag mdau ambaye hapaswi kukosa hii! πŸ‘‡πŸΎ

Zimebaki siku 5 pekee kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 20 ya Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB)! πŸŽ‰K...
12/05/2026

Zimebaki siku 5 pekee kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 20 ya Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB)! πŸŽ‰

Kwa miongo miwili, tumekuwa mstari wa mbele kuhakikisha wakulima na wafanyabiashara wanapata tija kupitia mfumo rasmi na salama. Ungana nasi katika kuadhimisha hatua hii muhimu huku tukijadili mustakabali wa sekta ya kilimo na biashara nchini Tanzania.

πŸ—“οΈ Tarehe: 17 – 19 Mei, 2026
πŸ“ Mahali: Jakaya Kikwete Convention Centre (JKCC), Dodoma
πŸ’‘ Kaulimbiu: Mfumo Imara, Uchumi Endelevu.

WizaraYaViwandaNaBiashara

πŸ—“οΈ Bado siku 06 kuelekea Miaka 20 ya kujenga mifumo imara kwa maendeleo endelevu. ✨Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Gh...
11/05/2026

πŸ—“οΈ Bado siku 06 kuelekea Miaka 20 ya kujenga mifumo imara kwa maendeleo endelevu. ✨

Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) inaadhimisha miaka 20 ya mafanikio, ubunifu na mchango katika kukuza biashara, kilimo na uchumi wa Tanzania. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

πŸ“ Jakaya Kikwete Convention Centre (JKCC), Dodoma
πŸ“… 17–19 Mei 2026
πŸ—“οΈ Bado siku 06

Leo Mei 9 2026, Bw. Asangye Bangu,Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala(WRRB) pamoja na watumi...
09/05/2026

Leo Mei 9 2026, Bw. Asangye Bangu,Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala(WRRB) pamoja na watumishi wa Bodi hiyo wametembelea Hifadhi ya Taifa ya Mikumi kwa ajili ya kufanya utalii wa ndani na kupata muda wa kupumzika baada ya kipindi kirefu cha utekelezaji wa majukumu ya kazi.
Ziara hiyo imelenga kuwajengea watumishi ari mpya ya kazi, kuimarisha ushirikiano pamoja na kuwapa fursa ya kufurahia vivutio vya utalii vilivyopo nchini. Aidha, watumishi walipata nafasi ya kujionea wanyamapori mbalimbali na mandhari ya kuvutia yaliyopo katika hifadhi hiyo.


.hmwinyi

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Aristides Mbwasi amefungua Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Bod...
08/05/2026

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Aristides Mbwasi amefungua Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Mei 8, 2026, kilichofanyika katika Ukumbi wa Edema mkoani Morogoro.

Aidha katika Kikao hicho cha Baraza pia kimejadili Bajeti ya mwaka 2026/2027 pamoja na kujadili namna bora ya kutatua kero mbalimbali za watumishi mahali pa kazi ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao hicho, Bw. Mbwasi aliwasisitiza wajumbe kufanya kazi kwa utu, ushirikiano na uwajibikaji ili kuendelea kuimarisha utendaji wa taasisi pamoja na huduma zinazotolewa kwa wadau wake.


.hmwinyi

Leo Mei 7, 2026, Kaimu Mkurugenzi wa Uratibu Huduma kutoka Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Bw. Thomas M...
07/05/2026

Leo Mei 7, 2026, Kaimu Mkurugenzi wa Uratibu Huduma kutoka Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Bw. Thomas Mwita, amefungua kikao cha mafunzo kwa watumishi wa Bodi hiyo yaliyofanyika katika Hotel ya Morena, mkoani Morogoro. Mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo watumishi katika utekelezaji wa majukumu yao kwa ufanisi zaidi.

Mafunzo hayo yalihusu masuala ya HIV/AIDS na magonjwa yasiyoambukiza, maadili ya Utumishi wa Umma, kuzuia na kupambana na rushwa, afya ya akili, elimu ya fedha ,matumizi na utunzaji sahihi wa kumbukumbu na nyaraka.

Kupitia mafunzo hayo watumishi wamehimizwa kuzingatia maadili ya kazi, kulinda afya zao pamoja na kutumia elimu waliyoipata kuongeza tija katika utoaji wa huduma ndani ya taasisi.



.hmwinyi

Maadhimisho ya Miaka 20 ya WRRB yanaendelea kuwakutanisha wadau muhimu wa maendeleo ya uchumi nchini.Tunathamini ushirik...
07/05/2026

Maadhimisho ya Miaka 20 ya WRRB yanaendelea kuwakutanisha wadau muhimu wa maendeleo ya uchumi nchini.
Tunathamini ushiriki wa UTT AMIS .amis k**a mdhamini wa tukio hili muhimu.

πŸ“… 17–19 Mei 2026
πŸ“ Jakaya Kikwete Convention Centre (JKCC), Dodoma
🟨 Kaulimbiu: Mfumo Imara, Uchumi Endelevu

Ubora ni msingi wa maendeleo endelevu.Tunafurahia kushiriki kwa Tanzania Bureau of Standards ( ) k**a exhibitor katika M...
07/05/2026

Ubora ni msingi wa maendeleo endelevu.
Tunafurahia kushiriki kwa Tanzania Bureau of Standards ( ) k**a exhibitor katika Maadhimisho ya Miaka 20 ya WRRB.

πŸ“… 17–19 Mei 2026
πŸ“ Jakaya Kikwete Convention Centre (JKCC), Dodoma
🟨 Kaulimbiu: Mfumo Imara, Uchumi Endelevu

Address

Dar Es Salaam
P.OBOX38093

Opening Hours

Monday 08:00 - 15:30
Tuesday 08:00 - 15:30
Wednesday 08:00 - 15:30
Thursday 08:00 - 15:30
Friday 08:00 - 15:30

Telephone

+255738617755

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala-WRRB posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala-WRRB:

Share