Petroleum Upstream Regulatory Authority - PURA

Petroleum Upstream Regulatory Authority - PURA PURA regulates and monitors petroleum upstream operations and LNG activities in the Mainland Tanzania

Matukio mbalimbali katika picha wakati Mkurugenzi Mkuu wa PURA, Mhandisi Charles Sangweni alipotembelea banda la Mamlaka...
12/07/2024

Matukio mbalimbali katika picha wakati Mkurugenzi Mkuu wa PURA, Mhandisi Charles Sangweni alipotembelea banda la Mamlaka katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) leo Julai 12, 2024 yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.

Mha. Sangweni pia ametembelea mabanda mengine ya taasisi za sekta ya nishati ikiwemo Wizara ya Nishati, Mamlaka ya Huduma za Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC), Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) pamoja na Mamlaka ya Udhibiti wa Utafutaji na Uchimbaji wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar (ZPRA).

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PURA Bw. Halfani Halfani ameipongeza Mamlaka kwa kuratibu uandaliwaji wa miongozo y...
11/07/2024

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PURA Bw. Halfani Halfani ameipongeza Mamlaka kwa kuratibu uandaliwaji wa miongozo ya Uwajibikaji wa Kampuni kwa Jamii (CSR) katika mamlaka za serikali za mitaa kwa maeneo inapotekelezwa miradi ya utafutaji, uendelezaji na uzalishaji wa mafuta na gesi asilia Pamoja na Yale yaliyopitiwa na mondo mbinu ya gesi asilia.

Aidha ametoa rai kwa PURA kushirikiana na Mamlaka ya Huduma za Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) katika kuhakikisha miradi ya CSR inanufaisha wazawa katika miradi ya sekta ndogo ya mafuta na gesi asilia kwa ngazi za mkondo wa juu, wa kati na wa chini

Bw. Halfani ameyasema hayo leo Julai 11, 2024 alipotembelea banda la PURA katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jijiji Dar es Salaam.

Mbali na banda la PURA Bw. Halfani ametembelea mabanda mengine ya taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati ikiwemo Mamlaka ya Huduma za Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) pamoja na Mamlaka ya Udhibiti wa Utafutaji na Uchimbaji wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar (ZPRA) ili kupata uelewa zaidi wa shughuli zake na miradi wanayoitekeleza.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba ametembelea banda la PURA katika Maonesho ya Sabasaba 2024.  ...
10/07/2024

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba ametembelea banda la PURA katika Maonesho ya Sabasaba 2024.

Matukio mbalimbali katika picha wakati viongozi mbalimbali wa Wizara ya Nishati na taasisi zake pamoja na washiriki Maon...
06/07/2024

Matukio mbalimbali katika picha wakati viongozi mbalimbali wa Wizara ya Nishati na taasisi zake pamoja na washiriki Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) walipotembelea banda la PURA, lililopo jengo la Karume.

Heri ya Sikukuu ya Muungano 🇹🇿
26/04/2024

Heri ya Sikukuu ya Muungano 🇹🇿

PUMZIKA KWA AMANI 🙏🏾
01/03/2024

PUMZIKA KWA AMANI 🙏🏾

Salamu za Shukrani
26/02/2024

Salamu za Shukrani

PONGEZI
23/02/2024

PONGEZI

Happy Mapinduzi Day
12/01/2024

Happy Mapinduzi Day

Happy New Year 2024
01/01/2024

Happy New Year 2024

Address

TANESCO BUILDING, 5 SAMORA MACHEL Road, P. O BOX 11439, 11474 DAR ES SALAAM
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Petroleum Upstream Regulatory Authority - PURA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Petroleum Upstream Regulatory Authority - PURA:

Share