26/04/2020
MUNGU ALIYE HAI ,HALISI NA MWENYE KUJIBU
Yetemia 33:3 MUNGU alisemaTUMUITE ( tumuombee) Akaahidi hato NYAMAZA, akasema NITAWAONYESHA ( atatufunulia au atatujibu au atatupa SIRI)
JE, SIRI ni nini? Kilicho fichika au TUSICHO KIJUA
SOMA zaburi 24:14, ( SIRI ya BWANA IPO kwao wamchao au watumishi Wa MUNGU) Kwa lugha nyingine MUNGU huwa anaachilia MAJIBU kwa WATU WAKE hajasema MCHUNGAJI, wala NABII, wala ASKOFU, wala SHEIHK , wala MUINJILIST, wala IMAMU badala yake amesema KWAO WAMCHAO yaani ILIMRADI UNAMCHA MUNGU .
"Lakini huko, k**a mkimtafuta Bwana, Mungu wako, utampata, ukimtafuta kwa moyo wako wote, na roho yako yote. " ( Kumb 4:29) , mathayo 7:7
"Na wakati uwapo katika mashaka, ukiisha kupatwa na mambo haya yote, siku za mwisho, utamrudia Bwana, Mungu wako, na kuisikiza sauti yake;" (Kumb4:30)
- Mungu aliye Hai maana yake ni Mungu anaishi milele na pia ndiye aitwaye MUNGU Wa kweli na HALISI
- KINYUME cha MUNGU aliye HAI ni mungu SANAMU au mungu asiye Wa kweli Na ni mungu asiye JIBU
-tafsiri ya kusikiliza SAUTI maana yake ana ZUNGUMZIA transaction miongoni mwawaombaji na MUNGU (Mahojiano kuwa unaongea naye anajibu)
Bali Bwana ndiye Mungu wa kweli; Ndiye Mungu aliye hai, Mfalme wa milele; Mbele za ghadhabu yake nchi yatetemeka, Wala mataifa hawawezi kustahimili hasira yake. (Yeremia10:10)
NB- nisikilize mtu Wa MUNGU si neni habari za DINI au dhehebu au kabila,au Rangi Nyakati hizi ni Nyakati TOFAUTI ambapo DINI yako, DHEHEBU lako aliwezi kukupeleka MBINGUNI nilazima UMJUE MUNGU halisi, Wa kweli na MWENYE KUJIBU
ULIMWENGU upo kwenye KIPINDI KIGUMU sana KWAKUWA wanashindwa KUISIKIA sauti ya MUNGU na KUPONYWA kwasababu WAPO MBALI MNOO wamechanganywaa. LIKINI nazungumza na MTU mda huu ambaye AKINIELEWA ATASHINDA na ATAZIONA KAZI za MUNGU waziwazi. MUNGU akubariki