12/09/2026
Ibada ya Misa Takatifu Sikukuu ya Kutukuka kwa Msalaba iliyofanyika Kituo cha hija pugu, kwetu Skauti Katoliki ilikuwa furaha kubwa baada ya kupata ufadhili wa Radio Upepo kutoka kwa Mkristu mwenye Mapenzi Mema Ndugu Frank. Tunasmshukuru sana. Kwa Majitoleo yetu na Utume wetu ndani ya kanisa Bado tunawiwa na Mambo kadhaa hivyo tuna ndelea kupokea wafadhiri kusaidia mahitaji muhimu ili Utume wetu uweze kwenda.