Cassim Sports

Cassim  Sports Kwa Ajili Ya Kuhabarishana Habari za Michezo na Burudani

Kumekucha ๐Ÿคฃ ameandika Ally Kamwe Instagram
17/09/2026

Kumekucha ๐Ÿคฃ ameandika Ally Kamwe Instagram

๐ŸšจBADO HAJAONJA LADHA YA KICHAPOKocha mkuu wa Simba Sports Club, Steven Barker, ameendeleza rekodi yake ya kipekee ya kut...
17/09/2026

๐ŸšจBADO HAJAONJA LADHA YA KICHAPO

Kocha mkuu wa Simba Sports Club, Steven Barker, ameendeleza rekodi yake ya kipekee ya kutopoteza mchezo wowote wa ligi kuu ya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ bara (NBC Premier League) tangu alipoteuliwa kuwa kocha wa kikosi hicho .

Amezidisha ukubwa wa rekodi hii na kufanya kufikia michezo 31, baada ya kuiongoza Simba SC kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa ''Mzizima derby'' uliopigwa kwenye uwanja wa Azam Complex Chamanzi usiku wa hapo jana .

Takwimu za Simba Sports Club kwenye michezo ya ligi tangu Steven Barker ateuliwe kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho .

๐ŸŽฎ 31 Michezo
๐Ÿ…ฟ๏ธ 79 Alama (points)
โœ… 24 Ushindi
โš ๏ธ 07 Sare
โšฝ 54 Mabao ya kufunga
๐Ÿ‘Ÿ 161 Mashuti yaliyolenga lango
๐Ÿ“ 409 Nafasi zilizotengenezwa
๐Ÿฅ… 10 Mabao ya kukufungwa
๐Ÿ†‘ 22 Mechi bila kuruhusu bao

Baada ya ushindi wa hapo jana dhidi ya Azam FC, kocha Steven Barker sasa amepata ushindi dhidi ya timu 17 kati ya 18 alizokutana nazo kwenye NBC Premier League, mpinzani pekee ambaye bado hajapata matokeo ya ushindi dhidi yake ni Young Africans na ndio mchezo Unaofata

K**A WEWE NI KOCHA UNAONDOKA NA NANI?
17/09/2026

K**A WEWE NI KOCHA UNAONDOKA NA NANI?

Mshambuliaji No 1 Wa  Simba Doumbia  A.K.A Osmen  Mpaka sasa Anapambania Uhai wake Wa kucheka na NyavuTangu Atue msimbaz...
17/09/2026

Mshambuliaji No 1 Wa Simba Doumbia A.K.A Osmen Mpaka sasa Anapambania Uhai wake Wa kucheka na Nyavu
Tangu Atue msimbazi Amecheza michezo Tisa ya kimashindano Hata offside Hakupata
Ligi Kuu Michezo 6
Klabu bingwa michezo 2
Ngao ya jamii mchezo 1
Katika michezo hiyo Klabu ya simba Imetupia mabao 18 Ila mwamba bado hajacheka na nyavu

Anamikimbio Mizuri sana mechi Inayofata Simba Na Yanga

1๏ธโƒฃ0๏ธโƒฃ0๏ธโƒฃ ๐Œ๐€๐†๐Ž๐‹๐ˆ ๐˜๐€ ๐Œ๐„๐’๐’๐ˆ ๐Š๐–๐€ ๐ˆ๐๐“๐„๐‘ ๐Œ๐ˆ๐€๐Œ๐ˆ! ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Hatua nyingine muhimu imefikiwa katika maisha ya Lionel Messi ๐Ÿ’—๐ŸŽž๏ธ AKIWA IN...
17/09/2026

1๏ธโƒฃ0๏ธโƒฃ0๏ธโƒฃ ๐Œ๐€๐†๐Ž๐‹๐ˆ ๐˜๐€ ๐Œ๐„๐’๐’๐ˆ ๐Š๐–๐€ ๐ˆ๐๐“๐„๐‘ ๐Œ๐ˆ๐€๐Œ๐ˆ!

๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Hatua nyingine muhimu imefikiwa katika maisha ya Lionel Messi ๐Ÿ’—๐ŸŽž๏ธ

AKIWA INTERMIAMI Amehusika na mabao 155 Katika Mechi 114
โšฝ Mabao 100 ๐Ÿ‘Ÿ
Asisti 55

KATIKA MAISHA YAKE YA SOKA AMETUPIA MABAO 9๏ธโƒฃ2๏ธโƒฃ9๏ธโƒฃ JE ATATOBOA BUKU BADO 71 AKIW NA MIAKA 39

๐Ÿ† ๐‹๐ˆ๐Ž๐๐„๐‹ ๐Œ๐„๐’๐’๐ˆ ASHINDA KOMBE LA ๐Ÿ’๐Ÿ— KATIKA KAZI YAKE YA SOKA KWA KUTWAA KOMBE LA CAMPEONES! ๐Ÿ‘‘๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Inter Miami wameshinda Ko...
17/09/2026

๐Ÿ† ๐‹๐ˆ๐Ž๐๐„๐‹ ๐Œ๐„๐’๐’๐ˆ ASHINDA KOMBE LA ๐Ÿ’๐Ÿ— KATIKA KAZI YAKE YA SOKA KWA KUTWAA KOMBE LA CAMPEONES!
๐Ÿ‘‘๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Inter Miami wameshinda Kombe la Campeones dhidi ya mabingwa wa Mexico, Cruz Azul - huku Leo akifunga bao na kuweka historia tena ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท

10ร— La Liga ๐Ÿ†
8ร— Spanish Super Cup ๐Ÿ†
7ร— Copa del Rey ๐Ÿ†
4ร— Champions League ๐Ÿ†
3ร— UEFA Super Cup ๐Ÿ†
3ร— Club World Cup ๐Ÿ†
2ร— Ligue 1 ๐Ÿ†
2ร— Copa Amรฉrica ๐Ÿ†
1ร— Kombe la Dunia ๐Ÿ†
1ร— Finalissima ๐Ÿ†
1ร— Medali ya Olimpiki ๐Ÿ†
1ร— Kombe la Dunia la U-20 ๐Ÿ†
1ร— French Super Cup ๐Ÿ†
1ร— Leagues Cup ๐Ÿ†
1ร— MLS Supportersโ€™ Shield ๐Ÿ†
1ร— Ubingwa wa Eastern Conference ๐Ÿ†
1ร— MLS Cup ๐Ÿ†
1x Campeones Cup ๐Ÿ†•๐Ÿ†

๐Œ๐€๐Š๐Ž๐Œ๐๐„ ๐Ÿ’๐Ÿ—. ๐Œ๐ˆ๐€๐Š๐€ ๐Ÿ‘๐Ÿ—. ๐๐€ ๐๐€๐ƒ๐€๐ƒ๐Ž ๐€๐๐€๐„๐๐ƒ๐„๐‹๐„๐€... ๐ŸŽž๏ธ

Inter Miami CF Yabeba Kombe Messi Akifunga Bao La 100 Tangu Ajiunge Na Timu Hiyo
17/09/2026

Inter Miami CF Yabeba Kombe Messi Akifunga Bao La 100 Tangu Ajiunge Na Timu Hiyo

๐Ÿšฉ ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : Carabao Cup ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟMANCHESTER UNITED 2๏ธโƒฃโž–๏ธ3๏ธโƒฃ BRIGHTON ALBION โšฝ๏ธ 08" Shea Lacey.                       โšฝ๏ธ ...
17/09/2026

๐Ÿšฉ ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : Carabao Cup ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ

MANCHESTER UNITED 2๏ธโƒฃโž–๏ธ3๏ธโƒฃ BRIGHTON ALBION
โšฝ๏ธ 08" Shea Lacey. โšฝ๏ธ 45" Kastoulas
โšฝ๏ธ 10" Mason Mount โšฝ๏ธ 65" GroB
โšฝ๏ธ 70" De Cuyper

Hii Timu inachekesha k**a Sio Yako Na K**a Hukuibetia Mazima Kutoka kuongoza bao 2 :0 Hadi Kuchezea Kichap0

๐Ÿšฉ ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : La Liga ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ                FC BARCELONA 7๏ธโƒฃโž–๏ธ2๏ธโƒฃ RACING SANTANDER โšฝ๏ธ 08" Cancelo                           ...
17/09/2026

๐Ÿšฉ ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : La Liga ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ

FC BARCELONA 7๏ธโƒฃโž–๏ธ2๏ธโƒฃ RACING SANTANDER
โšฝ๏ธ 08" Cancelo โšฝ๏ธ 30" Gueye
โšฝ๏ธ 25" Raphinha (p) โšฝ๏ธ 65" Zabiri
โšฝ๏ธ 36"Asier (og)
โšฝ๏ธ 42" Raphinha
โŽ๏ธ 45" Lamine Yamal (p)
โšฝ๏ธ 67" Raphinha (p)
โšฝ๏ธ 79" Jesus
โšฝ๏ธ 88" Lamine Yamal

๐Ÿšฉ ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : NBC Premier League ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟAZAM FC 0๏ธโƒฃโž–๏ธ2๏ธโƒฃ SIMBA SPORTS CLUB                                    โšฝ๏ธ 58" Idemba (...
16/09/2026

๐Ÿšฉ ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : NBC Premier League ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

AZAM FC 0๏ธโƒฃโž–๏ธ2๏ธโƒฃ SIMBA SPORTS CLUB
โšฝ๏ธ 58" Idemba (og)
โšฝ๏ธ 68" Chota Chama

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cassim Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share