mkurabita_tanzania

mkurabita_tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from mkurabita_tanzania, Government Organization, Babati.

13/12/2022
Picha katika Matukio: Timu ya wataalam wa tathmini wakijadili jambo na Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida (Bw. Jeshi G. L...
03/12/2022

Picha katika Matukio: Timu ya wataalam wa tathmini wakijadili jambo na Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida (Bw. Jeshi G. Lupembe) wakati wa tathmini ya kituo Jumuishi cha Urasimishaji na Uendelezaji Biashara Katika Manispaa ya Singida. Tathmini hii inalenga kubaini Uendelevu na Manufaa ya Urasimishaji

Picha katika Matukio: Timu ya wataalam wa Tathmini kutoka Chuo kikuu  Mzumbe (Dkt. Fred Alfred Rwechungura), TAMISEMI (B...
03/12/2022

Picha katika Matukio: Timu ya wataalam wa Tathmini kutoka Chuo kikuu Mzumbe (Dkt. Fred Alfred Rwechungura), TAMISEMI (Bi. Tully Mwamjengwa), Wizara ya Fedha (Bi. Mwajuma Mkupaya) na MKURABITA (Bw. Francis Mjuni) katika tathmini ya Vituo Jumuishi ya Urasimishaji na Uendelezaji Biashara Katika Manispaa ya Singida. Tathmini hii pia itafanyika katika vituo vya Manispaa za Morogoro, Moshi, Iringa, Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Mji wa Njombe, Babati na Majiji ya Arusha na Tanga. Tathmini hii inalenga kubaini Uendelevu na Manufaa ya Urasimishaji

Matukio katika picha: Zoezi la Upimaji wa majaribio likiendeleea katika Kijiji cha GOIMA, Wilayani Chemba. Hii ni maanda...
01/12/2022

Matukio katika picha: Zoezi la Upimaji wa majaribio likiendeleea katika Kijiji cha GOIMA, Wilayani Chemba. Hii ni maandalizi ya urasimishaji wa mashamba ya alizeti katika Vijiji vitatu (3) Wilayani humo.

Matukio katika picha: Mkutano mkuu wa Kijiji cha GOIMA, Wilayani Chemba wakipata ufafanuzi wa Mradi wa Urasimishaji. Mku...
01/12/2022

Matukio katika picha: Mkutano mkuu wa Kijiji cha GOIMA, Wilayani Chemba wakipata ufafanuzi wa Mradi wa Urasimishaji. Mkutano huu uliambatana na Kuidhinisha Majina ya wajumbe wa Kamati ya VAC. Kamati hii itasaidiana na wapimaji katika upimaji wa mashamba ya alizeti unaotarajiwa kufanyika na MKURABITA Kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Chemba

Address

Babati

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when mkurabita_tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share