Jicho La 3 - Mombasa

Jicho La 3 - Mombasa Maendeleo Ya Viongozi Wa Mombasa.

23/01/2026

Msipokua' wajanja mtazalishwasana kudadadeki.

Vijana..wa' County ya mombasa; wanatoa'shukrani kubwasana..kwa Governor wao Abdulswamad sharff nassir; na ma M.C.A...z w...
07/05/2023

Vijana..wa' County ya mombasa; wanatoa'shukrani kubwasana..kwa Governor wao Abdulswamad sharff nassir; na ma M.C.A...z wao Pamoja na wabunge wao..wakidai'kua hatauhalifu mitaani umepungua..kwakiwango kikubwa zaidi..kwaio wanaomba kuongezwa mdazaidi iliwaweze, kupambana na maisha yao...

22/03/2023
Habari zenu wadau wetu wa Jicho La 3..?.. tumefanikiwa kupata pictures za MCA..wa miritini; Anaejulikana K**a  KIBWANA S...
26/09/2022

Habari zenu wadau wetu wa Jicho La 3..?.. tumefanikiwa kupata pictures za MCA..wa miritini; Anaejulikana K**a KIBWANA SWALLEH BAYA.. baada ya'kuapishwa ijumaa iliopita na... jitazamie ww mwenyewe.. muheshimiwa huyu; anafuraha kubwa sana baada ya kurudi kwatamu ya3..

Kwenye fikrazako; unadhani ninani atakae'kua Governor hapo kesho Mungu akipenda?
29/08/2022

Kwenye fikrazako; unadhani ninani atakae'kua Governor hapo kesho Mungu akipenda?

Jicho La 3.. lime'nasa mkutano uliofanyika Jomvu sehemu ya Miritini primary school; naalie fanya mkutano huo,siemwengine...
27/08/2022

Jicho La 3.. lime'nasa mkutano uliofanyika Jomvu sehemu ya Miritini primary school; naalie fanya mkutano huo,siemwengine bali ni M.CA wao; Hon KIBWANA SWALLEH BAYA..kaajili yakuwa'fungulia Hospital"hapo karibu yao kwa'ajili yakupata matibabu kwaurahisi.. naulifanyika 8-4-2022..

Jicho La 3.. lina'wakumbusha uchaguzi utakaofanyika 29-8-2022.. itakua sikuya'jumatatu; Tafadhali, tunaomba tudumishe Am...
27/08/2022

Jicho La 3.. lina'wakumbusha uchaguzi utakaofanyika 29-8-2022.. itakua sikuya'jumatatu; Tafadhali, tunaomba tudumishe Amani cz kura nisikumoja.. bt kumbuka maisha yata Endelea...👋.

Jicho La 3.. limenasa mkutano uliofanyika hapa mjini mombasa; sehemu inayojiita Mvita. Akiwa ni Hon abdulswamad.. akijio...
26/08/2022

Jicho La 3.. limenasa mkutano uliofanyika hapa mjini mombasa; sehemu inayojiita Mvita. Akiwa ni Hon abdulswamad.. akijiombea kura ya u governor hapa mombasa je unadhani huenda akajivunia ushindi?

Jicho La 3; limeshuhudia mkutano uliofanyika"huko" Mtwapanga sehemu ya Bamburi; ukiongozwa na Hon Mike mbuvi sonko. Kwaa...
26/08/2022

Jicho La 3; limeshuhudia mkutano uliofanyika"huko" Mtwapanga sehemu ya Bamburi; ukiongozwa na Hon Mike mbuvi sonko. Kwaajili yakumpigia upato Hon Hassan Sarai; je? Kwajuhudi'zao hiziunazoziona unadhani huenda wakaebuka washindi?

Kulingana'nautafiti nikua; hawa ma Governor  wawili unaowaona hapa mbele yako; ndio wanao semesha sana mjiwetu wa mombas...
25/08/2022

Kulingana'nautafiti nikua; hawa ma Governor wawili unaowaona hapa mbele yako; ndio wanao semesha sana mjiwetu wa mombasa; yote'tisa kumi niii? Unadhani niyupi atakae ebuka kuawamshindi hapo jumatatu? Kazikwenu wadauuu👋😂..

Jicho  La 3.. limenasa mkutano ulio fanyika FRERE TOWN.. mtaa wa Bombolulu ukiongozwa Na Hon MBOGO; kwaajili ya kumpigia...
25/08/2022

Jicho La 3.. limenasa mkutano ulio fanyika FRERE TOWN.. mtaa wa Bombolulu ukiongozwa Na Hon MBOGO; kwaajili ya kumpigia upato Hon HASSN SARAI kwakua GORVENOR wa mombasa county.. 29th 8-2022..

Habari zilizotufikia hii Leo nikua; 29-8-2022 kutakua nauchaguzi. wa ma Governors wetu wa hapa Mombasa; please; Jicho La...
22/08/2022

Habari zilizotufikia hii Leo nikua; 29-8-2022 kutakua nauchaguzi. wa ma Governors wetu wa hapa Mombasa; please; Jicho La 3... linawaomba kudumisha amani kwakua; Amani ndio kilakitu kwenye maisha yetu... Asanteni sana na Mungu awa'Bariki.

Address

47
Mombasa
72944

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jicho La 3 - Mombasa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share