Lunga Lunga TuchapeKazi SACCO

Lunga Lunga TuchapeKazi SACCO Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Lunga Lunga TuchapeKazi SACCO, Social service, Lunga-Lunga.

Ofisi yetu kuu pale Lunga Lunga.Karibuni
03/08/2024

Ofisi yetu kuu pale Lunga Lunga.

Karibuni

02/07/2024

Good Morning.

We are currently giving Loans to our members.
Thanks

Tumekuwa na kikao na wasimamizi wa SACCO wa kule nyanjani na tukawapatia fomu za kuchukua mikopo ili wanachama wetu wasi...
20/06/2024

Tumekuwa na kikao na wasimamizi wa SACCO wa kule nyanjani na tukawapatia fomu za kuchukua mikopo ili wanachama wetu wasitaabike kuja hadi ofisini kuchukua fomu.
Ni rasmi kwamba tunapeana mikopo kwa wanachama wetu na tunapeana hadi mara tatu ya Savings za mwanachama na riba iko chini ili kuwezesha mwamachama kujiendeleza.

Karibu

Ofisi ilifunguliwa rasmi jana na mgeni mheshimiwa Ndindi Nyoro akiwa ameandamana na naibu wa Gavana wa Kwale mheshimiwa ...
16/06/2024

Ofisi ilifunguliwa rasmi jana na mgeni mheshimiwa Ndindi Nyoro akiwa ameandamana na naibu wa Gavana wa Kwale mheshimiwa Chirema Kombo,Seneta maalum mheshimiwa Chimera,Mheshimiwa mbunge wa msambweni Hon. Feisal Abdallah Bader spika wa Kaunti ya Kwale mheshimiwa Seth Mwatela na viongozi watukufu wengi ikiwemo wajumbe wa Kaunti ya kwale.
Mwenyekiti wa SACCO bwana Kioko Nduto ndiye aliyeongoza shughuli hii ya ufunguzi wa ofisi hii.

Ofisi iko pale mjini Lunga lunga Mbuyuni kando kando ya barabara inayotoka Mombasa ikienda Dar Es Salaam.

Mwanachama afike ofisini kwa maelezo zaidi.

Kwa kujiunga na SACCO tuma pesa kupitia Paybill 400200 na Account ni 38156.Pesa ya kujiandikisha ni 200.Nunua hisa/share...
16/06/2024

Kwa kujiunga na SACCO tuma pesa kupitia Paybill 400200 na Account ni 38156.
Pesa ya kujiandikisha ni 200.
Nunua hisa/shares 20 na kila share ni 100 jumla 2000

Ukituma 2200 utakuwa umekuwa mwanachama rasmi.

Baada ya kutoa hizo chochote utakachokuwa unatuma kitawekwa kwa Savings.
Savings zitakufanya upate Loan na shares zitakufanya upate Dividends.

Karibu Member.

Lunga Lunga TuchapeKazi SACCO

Address

Lunga-Lunga

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lunga Lunga TuchapeKazi SACCO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category