Marere Mwakulinga

Marere Mwakulinga Sports Reporter. Journalist. Sports Commentator. Content Creator. Public Relations Expert Kwale County, Kenya.
(2)

15/06/2026

Today Monday 15th June

Spain vs Cape Verde 7AM
Belgium vs Egypt 10PM
Saudi Arabia vs Uruguay 1AM
Iran vs New Zealand 4AM

Tomorrow Tuesday 16th June
France vs Senegal 10PM

Draw ya Makala ya Saba ya  Rashidabdallah_supercup itafanyika tarehe 23/6/2027.Utaletewa mubashara live kwenye ukurasa w...
15/06/2026

Draw ya Makala ya Saba ya Rashidabdallah_supercup itafanyika tarehe 23/6/2027.

Utaletewa mubashara live kwenye ukurasa wao.

Rashid Abdalla Lulu Hassan Athman Dena Kaka Zema - Mtoto wa Mjomba Bamsuley Abdallah Presenter Hassan Zuma

KWALE STADIUM INAKUBALIKA KITAIFA Mwenye kiti wa klabu ya Tusker FC amethibitisha kupitia Meenyekiti wao Charles Gacheru...
15/06/2026

KWALE STADIUM INAKUBALIKA KITAIFA

Mwenye kiti wa klabu ya Tusker FC amethibitisha kupitia Meenyekiti wao Charles Gacheru kuwa wataufanya Uwanja wa Kwale Stadium kuwa Uwanja wao wa nyumbani kwenye michuano ya CAF Confederation msimu utakapoanza.

Klabu hiyo ya Tusker FC ilipendezwa na mazingira ya Uwanja huo kwenye fainali za Mozzart Bet Cup na kufanya maombi rasmi kwa Serikali ya Kaunti ya Kwale.

Kwale Inasonga Mbele.

15/06/2026

Bao la Aboud Omar wa POLICE F.C lilikuwa Kali ugani Kwale Stadium, free kick mpaka ndani.


15/06/2026

Bao la pili la Ian Simiyu wa Tusker FC dhidi ya POLICE F.C ugani Kwale Stadium


15/06/2026

Bao la kwanza kwa Ian Simiyu wa Tusker dhidi ya POLICE F.C ugani Kwale Stadium. Bao Kali kweli.

Yan Diomande ndiye alikuwa mchezaji Bora kwenye mechi kati ya Ivory Coast na Ecuador. Jamaa ameupiga mwingi sana.Hongera...
15/06/2026

Yan Diomande ndiye alikuwa mchezaji Bora kwenye mechi kati ya Ivory Coast na Ecuador. Jamaa ameupiga mwingi sana.

Hongera.


Amad Diallo made the difference. Alipiga bao dakika ya 90. Moja sumu, komboa ufe wakwenu wazike. It's always him. FT: Iv...
15/06/2026

Amad Diallo made the difference. Alipiga bao dakika ya 90. Moja sumu, komboa ufe wakwenu wazike. It's always him.

FT: Ivory Coast 1-0 Ecuador


Address

Kwale Tabasamu Estate
Kwale

Telephone

+254728496020

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Marere Mwakulinga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Marere Mwakulinga:

Share