20/05/2024
Wanaume before uanze kujichocha na dem wako, please fikiria tena na tena.🙆😭 Hii generation ya nowadays hawatambui mahaba.📌😪pesa kwanza. So before hata uonje hiyo asali, fikiria tena na tena. Juu wengi wetu wanaume hatuumizwi😭 tunajiumiza sisi wenyewe na kiherehere yetu.👍👌
Nurse wanalipwa from 30k na secretary hulipwa 20k. Dem akilipwa 20k yake haiguzwi. Ndo maana utapata mtu Ako na gari na mshahara yake ni drop🧐 huyu dem unaita mpoa wako atatextiwa na bwana ya mutu, definitely mtu Ako 45years kupanda😢😲. Rent (16k) Dem yako atalipiwa, shopping allowance 8k, nywele na kucha kila mwezi zitakuwa paid for. 🙄Dem yako ni luku kila siku na humtumiangi any😂😂brathe, hapo unajikaranga😂📌
Saa zingine ukipata kajob, tuseme ya mjengo ivi au ya marketing, 🙆 after kulipwa sato unatumia dem thao mbili ndo ajibambe😂😂🙆hujui dem yako Ako na boi mwingine wake Ako majuu na humtumia 35k kila mwezi🙄😪 . Huyu dem unaita wako, Ako na kijana mdogo alizaa akapeleka kwao ushago, 🥴🤔 wewe hujui k**a anakuanga na mtoto, kijana ya majuu hajui, bwana za wenyewe hawajui, na hata wakijua haiwahusu, Bora watwange mzigo.😂🔥 Na utapata ATI siku haiezi Isha ka hujapigia your soulmate😂huyo soulmate wako ujue akishika ball yako ataitupa nje mbio kuliko matapiko ya abiria WA matatu😂 Soulmate mgani,? Woooi! Boychild😌🙆?? Mungu atuhurumie.