Magarini Constituency Daily Post

Magarini Constituency Daily Post The official page of Magarini Constituency under the area Member of Parliament, Harry Kombe.

09/11/2025

Hapa ni Marereni Magarini wanatambua kazi ya Hon Kombe, wameamua ni Kombe

ODM ndani ya Magarini Kombe ndiye kiongozi
09/11/2025

ODM ndani ya Magarini Kombe ndiye kiongozi

Kampeni za uchaguzi mdogo Wa ubunge Magarini Kombe arudi Bunge .
06/11/2025

Kampeni za uchaguzi mdogo Wa ubunge Magarini Kombe arudi Bunge .

Muwakilishi Wa akina mama kaunti ya Kilifi Mbeyu Mwanyanje pamoja naye Hon Kombe .
06/11/2025

Muwakilishi Wa akina mama kaunti ya Kilifi Mbeyu Mwanyanje pamoja naye Hon Kombe .

Naibu gavana kaunti ya Kilifi Florence Mbetsa Chibule pamoja na muwakilishi Wa akina mama kaunti ya Kilifi Mbeyu Mwanyan...
06/11/2025

Naibu gavana kaunti ya Kilifi Florence Mbetsa Chibule pamoja na muwakilishi Wa akina mama kaunti ya Kilifi Mbeyu Mwanyanje wakimshika mkono Mp Kombe Kwenye mkutano Wa kampeni Kule Adu Wakisema Kombe arudi bunge.

06/11/2025

Akina mama mbele ya viongozi na wananchi wimbo ,Kombe arudi bunge tarehe 27 mwezi November.

03/11/2025

Niko tayari kushirikiana na watu Wa Magarini Kwa Maendeleo Zaidi.
Huyo Ni Harrison Garama Kombe mgombea Wa chama cha ODM kwenye uchaguzi mdogo Magarini.

Viongozi Wa ODM wako Magarini kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wanasema nilazima Hon Harry Kombe arudi bunge
03/11/2025

Viongozi Wa ODM wako Magarini kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wanasema nilazima Hon Harry Kombe arudi bunge

16/10/2025

Hon Dr Owen Baya Kilifi North Mp tayari kwenye kampeni za kumuunga mkono Hon Harrison Garama Kombe kuhakikisha anahifadhi kiti chake kwenye uchaguzi mdogo (broadbased)

16/10/2025
16/10/2025

Mmi niko tayari kuwatumikia wanamagarini, Magarini ukiangalia miradi mingi nimefanya ,upande Wa elimu ,Maji ,stima ,ardhi ,usalama kila mahali nimehakikisha wanamagari wamepata .

K**a kiongozi Sina Shaka na uchaguzi mdogo unaokuja lamusingi nawasihi wanamagarini na wapigaji Kura siasa tufanye lakini tuangalie historia ya Kiongozi tunaye mchagua ,Kwa huu mda mchache kabla ya kusimamishwa japo nilikuwa na kesi lakini kazi nilifanya Sina Shaka wananchi wangu munaona nipeni muda uliosalia na Kwa usaidizi na ushirikiano wenu tutafanya mengi Zaidi.

Wenu Hon Harrison Garama Kombe asanteni

16/08/2025

Tushirikiane sote

Address

Gongoni
80206

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Magarini Constituency Daily Post posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Magarini Constituency Daily Post:

Share