14/05/2026
Lumumba anasema ameamua kula jaba na kulewa because Jack Ma alikula pesa yake ya Finland. 😅
Jack Ma hana bahati. Liver yake itaharibika. Ashindwe kufanya kazi na finally akufe maskini. Of course atakuwa wantam because Lumumba amelewa. So k**a unakasirika Jack Ma alikula pesa yako, tafuta jaba na ulewe, Jack Ma aumie.