Tanzania High Commission - New Delhi, India

Tanzania High Commission - New Delhi, India General knowledge and awareness about Tanzania. EP-15C, Chanakyapuri, New Delhi-110021, India
www.tanzrepdelhi.com | +91-11-24122864 | [email protected]

The High Commissioner of the United Republic of Tanzania in New Delhi is also accredited to the Republic of Bangladesh, the Kingdom of Nepal, the Republic of Singapore and the Republic of Sri Lanka.

Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Anisa Mbega (wa kwanza kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Ubalozi...
12/02/2023

Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Anisa Mbega (wa kwanza kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Ubalozi wa Tanzania, New Delhi pamoja na familia zao katika Banda la Tanzania katika hafla ya Maonesho ya Miaka 60 ya ya British School, New Delhi ambapo Ubalozi ulituma fursa ya maonesho hayo adhimu kutangaza vivutio vya utalii, utamaduni pamoja na vyakula vya Tanzania.

12/02/2023

Tarehe 12 Februari 2023, Watumishi wa Ubalozi wa Tanzania, New Delhi pamoja na familia zao walishiriki katika hafla ya Miaka 60 ya Shule ya British New Delhi ambapo walitumia fursa hiyo adhimu kutangaza, vivutio vya utalii, utamaduni pamoja na vyakula vya Tanzania. Nchi mbalimbali zilishiriki katika hafla hiyo.

Washiriki wakimiminika katika Banda la Tanzania kununua chakula cha Tanzania.

12/02/2023
12/02/2023

Watoto wa familia ya Watumishi wa Ubalozi wa Tanzania New Delhi wakiitangaza Tanzania na vivutio vyake ya utalii na utamaduni katika hafla ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Shule ya British New Delhi.

โœ…We are very proud of ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ  U17 team, the , who qualified   and played quarter-finals for the first time in Tanzania's foo...
22/10/2022

โœ…We are very proud of ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ U17 team, the

, who qualified and played quarter-finals for the first time in Tanzania's football history.

You have made the nation proud.

Congratulations our girls! ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช



22/10/2022

โœ…Daspora wa Tanzania nchini India na mashabiki wa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟwakiwa na Mhe. walipokuwa wakijiandaa kwenda kuishangilia

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ katika mechi yake ya robo fainali na Colombia ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ด ambayo inaendelea mjini Goa.


I

โœ… Serengeti Girls  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ  wakiwa kwenye mazoezi wakijiandaa na mchezo wao wa robo  Fainali   na Columbia ambao unatarajia k...
22/10/2022

โœ… Serengeti Girls ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ wakiwa kwenye mazoezi wakijiandaa na mchezo wao wa robo Fainali na Columbia ambao unatarajia kuchezwa leo Goa.

Kila la heri Serengeti Girls Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ’ช๐Ÿ‘๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

I

โœ…Hongereni sana  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kwa kuingia robo fainali   Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ is the first African team to reach knockouts of   World Cup ๐Ÿ’ช...
18/10/2022

โœ…Hongereni sana ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kwa kuingia robo fainali

Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ is the first African team to reach knockouts of World Cup ๐Ÿ’ช๐Ÿ‘๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ1โƒฃ - ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ1โƒฃ

I

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Tanzania and Canada in a decisive   encounter tonight ๐Ÿ”ฅSerengeti Girls you have our full support ๐Ÿ‘Š  |  |
18/10/2022

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Tanzania and Canada in a decisive encounter tonight ๐Ÿ”ฅ

Serengeti Girls you have our full support ๐Ÿ‘Š

| |

15/10/2022

โœ…Job done in Goa

Hogereni sana kwa ushindi ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ2โƒฃ - ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท1โƒฃ

Address

EP-15C, Chanakyapuri
New Delhi
110021

Opening Hours

Monday 9am - 4pm
Tuesday 9am - 4pm
Wednesday 9am - 4pm
Thursday 9am - 4pm
Friday 9am - 4pm

Telephone

+911124122864

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania High Commission - New Delhi, India posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Tanzania High Commission - New Delhi, India:

Share