Halmashauri ya Wilaya Uvinza

Halmashauri ya Wilaya Uvinza Uvinzadc

Mh. Dinah Mathamani Mkuu wa Wilaya ya Uvinza alipotembelea shule ya sekondari Lagosa na kujionea serikali ya Tanzania in...
25/08/2023

Mh. Dinah Mathamani Mkuu wa Wilaya ya Uvinza alipotembelea shule ya sekondari Lagosa na kujionea serikali ya Tanzania inavyowapokea wawekezaji katika kuhakikisha miundo mbinu ya madarasa inaboreshwa na wanafunzi wanapata mazingira mazuri na rafiki ya kujifunzia.

Dinah ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wadau katika wa maendeleo baada ya kuona uchakavu wa madarasa ya awali kulinganisha na madarasa ya fedha zilizoletwa na wafadhili mbalimbali katika kutatua changamoto ya uchakavu wa majengo ya madarasa.

Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mh. Dinah Mathamani leo tarehe 25.08.2023  ametembelea bweni la kisasa lililojengwa na shirika ...
25/08/2023

Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mh. Dinah Mathamani leo tarehe 25.08.2023 ametembelea bweni la kisasa lililojengwa na shirika la TUUNGANE katika shule ya sekondari Lagosa iliyopo Kijiji cha Lagosa kata ya Igalula Wilayani humo.

Mh. Dinah amelishukuru shirika la TUUNGANE kwa jitihada walizoonesha kwa kuhakikisha hakuna mdondoko wa Elimu katika kuhakikisha watoto waliombali na shule wanapata sehemu nzuri kwa kujisomea ili kupata matokeo yatakayowafanya waweze kuzifikia ndoto zao.

31/07/2023
Maendeleo ya ujenzi wa miundombinu kupitia mradi wa Boost kwa ajili ya Madarasa kwa shule Saba
22/07/2023

Maendeleo ya ujenzi wa miundombinu kupitia mradi wa Boost kwa ajili ya Madarasa kwa shule Saba

Wazazi wa Kijiji cha Tandala kata ya Uvinza, Wilayani Uvinza wamekabidhi madawati 60 katika shule ya msingi Tandala iliy...
18/07/2023

Wazazi wa Kijiji cha Tandala kata ya Uvinza, Wilayani Uvinza wamekabidhi madawati 60 katika shule ya msingi Tandala iliyopo kata ya Tandala

13/06/2023
Ufunguzi wa JUKWAA la maendeleo ya Ushirika mkoani Kigoma yamefanyika katika ukumbi wa Shule ya sekondari Bogwe iliyopo ...
02/06/2023

Ufunguzi wa JUKWAA la maendeleo ya Ushirika mkoani Kigoma yamefanyika katika ukumbi wa Shule ya sekondari Bogwe iliyopo Wilaya ya Kasulu

Shirika lisilokuwa la kiserikali TUUNGANE likijitambulisha na kuelezea shughuli wanazotekeleza kwa Mkuu wa Wilaya ya Uvi...
23/05/2023

Shirika lisilokuwa la kiserikali TUUNGANE likijitambulisha na kuelezea shughuli wanazotekeleza kwa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mh Dinah Mathamani na CMT katika ukumbi wa Jengo la Utawala katika hospitali ya Wilaya Uvinza tarehe 22 Mei, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mh Dinah Mathamani akitoa maelekezo kwa shule zilizopokea fedha za mradi wa Boost kwa ajili ya ...
23/05/2023

Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mh Dinah Mathamani akitoa maelekezo kwa shule zilizopokea fedha za mradi wa Boost kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu katika shule za msingi Saba kwa ufadhili wa UKaid tarehe 22 mei, 2023 kwenye ukumbi wa Afya Zamani katika Halmashauri ya Wilaya Uvinza.

Tujitokeze kuwasaidia wanawake wenye shida ya Fistula na tuwafariji.
22/05/2023

Tujitokeze kuwasaidia wanawake wenye shida ya Fistula na tuwafariji.

Dodoma kumenoga, kila mtu anayekunywa chai aifurahiye siku hii, chini ya wizara ya kilimo
21/05/2023

Dodoma kumenoga, kila mtu anayekunywa chai aifurahiye siku hii, chini ya wizara ya kilimo

Maadhimisho ya Siku ya vipimo duniani, 20 mei,2023 kitaifa yamefanyika mkoani Kigoma, Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mh Dinah ...
20/05/2023

Maadhimisho ya Siku ya vipimo duniani, 20 mei,2023 kitaifa yamefanyika mkoani Kigoma, Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mh Dinah Mathamani amekabidhiwa vipimo vitakavyotumika katika kuuza mawese. Maadhimisho yamefanyika katika ukumbi wa Kigoma Social hall uliopo mkoani kigoma

Address

12 , Lugufu Area
Uvinza

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Halmashauri ya Wilaya Uvinza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Halmashauri ya Wilaya Uvinza:

Share