Taficotz

Taficotz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Taficotz, Government Organization, P. O. Box 2336, Dar es Salaam.

Ukurasa Rasmi wa Shirika la Uvuvi Tanzania
Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) ni Shirika lenye dhamana ya kukuza sekta ya uvuvi nchini kupitia Uvuvi wa Bahari Kuu

27/05/2026

SERIKALI KUNUNUA MELI MBILI ZA UVUVI WA BAHARI KUU 2026/2027katika Mwaka 2026/2027, miradi na kazi zitakazotekelezwa kwa...
14/05/2026

SERIKALI KUNUNUA MELI MBILI ZA UVUVI WA BAHARI KUU 2026/2027
katika Mwaka 2026/2027, miradi na kazi zitakazotekelezwa kwa kuzingatia vipaumbele vya Wizara ni pamoja na Kukamilisha ununuzi wa meli mbili (2) za Uvuvi wa Bahari

Hayo yamesemwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, wakati
akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/27, Bungeni jijini Dodoma leo mei 14, 2026.

BIASHARA YA MAZAO YA UVUVI SOKO LA NDANI YAPAAKatika Mwaka 2025/2026, biashara ya mazao ya uvuvi katika soko la ndani im...
14/05/2026

BIASHARA YA MAZAO YA UVUVI SOKO LA NDANI YAPAA

Katika Mwaka 2025/2026, biashara ya mazao ya uvuvi katika soko la ndani imeendelea kuimarika ambapo hadi mwezi Aprili, 2026 jumla ya tani 439,673.63 zenye thamani ya shilingi bilioni 4.20 ziliuzwa katika soko la ndani ikilinganishwa na tani 422,639.10 zenye thamani ya shilingi bilioni 2.83 zilizouzwa mwaka 2024/2025. Kuimarika kwa biashara ya samaki katika soko la ndani kumetokana na kuimarika kwa miundombinu ya ubaridi ya kuhifadhi mazao ya uvuvi na miundombinu ya usafirishaji wa mazao ya uvuvi.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, wakati
akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/27, Bungeni jijini Dodoma leo mei 14, 2026.

SERIKALI KUANZA UJENZI WA BANDARI YA UVUVI YA BAGAMOYOkatika Mwaka 2026/2027, miradi na kazi zitakazotekelezwa kwa kuzin...
14/05/2026

SERIKALI KUANZA UJENZI WA BANDARI YA UVUVI YA BAGAMOYO

katika Mwaka 2026/2027, miradi na kazi zitakazotekelezwa kwa kuzingatia vipaumbele vya Wizara ni pamoja na kukamilisha usanifu wa kina na kuanza Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi ya Bagamoyo.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, wakati
akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/27, Bungeni jijini Dodoma leo mei 14, 2026.

Usikose kufuatilia Fursa za Uwekezaji katika Sekta ya Mifugo na Uvuvi.   🐟  /2027
13/05/2026

Usikose kufuatilia Fursa za Uwekezaji katika Sekta ya Mifugo na Uvuvi.


🐟
/2027

11/05/2026
Usikose kufuatilia Uwasilishaji wa Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2026/2027. Bajeti hiyo itawasi...
09/05/2026

Usikose kufuatilia Uwasilishaji wa Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

Bajeti hiyo itawasilishwa na Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa (Mb), Waziri wa Mifugo na Uvuvi, tarehe 14 Mei 2026, Bungeni jijini Dodoma.

01/05/2026



Watumishi wa Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) wameungana na wafanyakazi wote duniani kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi D...
01/05/2026

Watumishi wa Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) wameungana na wafanyakazi wote duniani kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani, katika maadhimisho yaliyofanyika leo 01 Mei 2026 kimkoa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja mkoani Dar es Salaam.

Maadhimisho hayo kwa mwaka 2026 yamebeba kaulimbiu isemayo: “Kazi zenye Staha ni Nguzo Imara kwa Maendeleo endelevu katika Utekelezaji wa Dira ya Taifa 2050.”

Address

P. O. Box 2336
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 09:30 - 15:30
Friday 09:30 - 15:30

Telephone

+255733506430

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Taficotz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share