10/07/2026
โฆtaarifa ya kwanza isiyo rasmi, inadai kwamba aliuawaโฆ
Taarifa ya pili isiyo rasmi, inadai kwamba ana majeraha makubwa, hasa sehemu za usoniโฆ
Taarifa ya tatu, isiyo rasmi, inadai kwamba ametengwa na utawala mpya wa Iran ๐ฎ๐ท, ndiyo maana hajahudhuria mazishi ya baba yakeโฆ
๐๐พ Taarifa โrasmiโ kutoka utawala
huo mpya, inasema kwamba hakutakiwa kuhudhuria mazishi hayo kwa sababu za kiusalamaโฆ ๐คท๐พ
๐๐พ Waandishi wa habari kutoka Ukimani wamejazana huko Iran ๐ฎ๐ท, lakini hakuna wanachokifanya zaidi ya kupiga picha na wanawake wa Iran ๐ฎ๐ท, madukani...
๐๐พ Hakuna hata mmoja anayedadisi au kuchunguza kuhusu ukweli wa hali ya huyu mheshimiwa...
๐๐พ Itoshe tu kusema ya kwamba Ukimani mna waandishi wa habari kanjanja na takataka!โฆ ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Usisahau kunifollow Kwa kugusa Link hii ๐๐
https://www.facebook.com/profile.php?id=61590624909659