28/08/2026
Huyu ni Patty wa gym, kijana mwenye amejituma sana na amekuwa mstari wa mbele kuunganisha na kuinua vijana wa Kaptembwo. Tumekuwa mabeshte for the last 10 years, na naweza kusema bila doubt amesaidia ku-unite vijana wengi na ame-connect vijana wengi na opportunities za kazi. Ni boy hana chuki, kila kitu anafanya ni kwa benefit ya vijana na maendeleo yao. 💪🏾🔥
Patty ni CEO wa Palmer Fitness Centre na pia ni ambassador wa “Crime Doesn’t Pay”, akihamasisha vijana kuchagua njia ya maendeleo badala ya crime. Kwangu yeye si rafiki tu; ni my greatest friend, mentor na mmoja wa advisors wangu. Hii ni kind of youth leadership tunahitaji Kaptembwo—kuunganisha, ku-empower na kufungua opportunities. Big up bro Patty! 🤝🏾🔥💯