Pwani youth revolution

Pwani youth revolution Empowering coastal youth for a brighter future.Join the movement for change , innovation and community development in Kenya's Coastal region.

31/03/2026
Mwakilishi wadi  kasemeni huko kaunti ya kwale ametangaza kuwa ujenzi wa patanani ECDE huko Boyani kwa Mutunga umeanza.T...
31/03/2026

Mwakilishi wadi kasemeni huko kaunti ya kwale ametangaza kuwa ujenzi wa patanani ECDE huko Boyani kwa Mutunga umeanza.
Toa maoni yako .
"Hamjambo wanakasemeni wenzangu,

Nataka kuwatangazia kuwa kazi ya kutengeneza Patanani ECDE imeanza pale Boyani Kwa Mutunga. Ahsanteni kwa ushirikiano wenu. "



29/01/2026

Hatukatai umedhihirisha azma yako ya kuwania kiti cha kisiasa hapa pwani , na pia hatupingi hilo lakini manifesto yako ni yepi kwa wakaazi wa pwani haswa katika eneo utakalogombea.
Dhihirisha yale unayopania kufanya endapo utachaguliwa , wala si kutoa mfano Kwa madhaifu ya kiongozi wa sasa.
Tunatambua na kusikiliza kila mpwani na kumjuza mpwani yale unayopania k**a mgombea au k**a kiongozi wa sasa.
Tuseme kwamba kila mwenye mazuri ana mabaya yake pia.



26/01/2026

Jee ungependa tuangazie mgombea kutoka katika eneo lako anayegombea kiti chochote cha kisiasa mwaka 2027.
Tutumie ujumbe ukianza na jina na nafasi ambayo anagonbea nasi hatutasita kupaza mtandaoni.
Sema nasi.

26/01/2026

Juma hili linapoanza ungependa tumuangazie nani...???
Nia yetu ni kukujuza na kuwatambua viongozi mbalimbali kutoka katika eneo lako.
Tunaangazia kazi nzuri inayofanywa na pia kutambua wale wagombea katika uchaguzi ujao.
Sema nasi.....

Wakaazi wa eneo bunge la kinango kaunti ya kwale songeni karibu.Tambueni Abdulrahiim mwangadu , mgombea wa kiti cha ubun...
25/01/2026

Wakaazi wa eneo bunge la kinango kaunti ya kwale songeni karibu.
Tambueni Abdulrahiim mwangadu , mgombea wa kiti cha ubunge katika eneo hilo.
Jee mnamtambua ...???
Sema nasi.

Here we go.Wakati ni sasa , vijana tuko tayari...???Sema nasi.
25/01/2026

Here we go.
Wakati ni sasa , vijana tuko tayari...???
Sema nasi.

A section of members of parliament from the pwani region need to learn from their fellow member of parliament.MPs need t...
01/01/2026

A section of members of parliament from the pwani region need to learn from their fellow member of parliament.
MPs need to learn from Ndindi nyoro-kiharu member of parliament.

31/12/2025

Pwani youth revolution inamtakia kila mmoja mwaka mpya wa 2026 wenye mafanikio.
Kumbuka safari ya kesho hupangwa leo , hivyo basi wakati ni sasa wa vijana kuamka!!!.




#2026

Address

Mombasa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pwani youth revolution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share