07/10/2023
unakumbuka venye mapenzi yenu ilikua tight ka kifuniko ya gas๐คทyaani the whole day mngeshinda mkichart hadi unakopa credo๐คna mkipigiana masimu hakuna mwenye alikua na hamu ya kukata๐ฅดhapo ndo ungeskia aty beb kata๐nawe pia unamwambia ww ndo ukate๐hakuna mwenye angeweza kukata simu mpaka credo iwakate๐๐ unapika ukichart ata unaenda Bafu ukichart ๐ mnaongea adi simu inakua moto ๐๐๐ฎ what happened plz๐คChukua hii๐ค๐คshikilia hivi๐ama hiviโutuambie why are single and not ready to mingle ๐๐๐ฎ
Dj in the house tuekee Ile Ngoma ya siku izi akuna mahaba ๐๐๐ฎ๐