Jumaa Hamisi 2541

Jumaa Hamisi 2541 it technician

18/11/2025

Morning

13/10/2025

week imeanza poa upande wako??
sema nami.

20/01/2024

Hi great peoples
Am seling my fanpage
The page.
Deejay k2 One that it's intrested to whatsap.254114832877

11/06/2021

The best online radio

18/03/2021

Hotuba ya Rais John Pombe Magufuli siku chache kabla ya KIFO CHAKE kuhusu tahadhari ya CORONA, BARAKOA na VITA VYA KIUCHUMI. (29 October 1959 – ...

13/01/2021

Polisi mjini Maua kaunti ya Meru wanachunguza kisa ambapo mwanamume mmoja mwenye umri wa makamo alipatikana amefariki kwenye chumba cha kulala yaani Lodging hii leo asubuhi baada ya kujivinjari usiku kucha na wanawake wawili.

Ripoti zinaarifu kuwa mwanamume huyo hapo jana jioni alionekana akijivinjari na wanawake hao wawili kwenye baa moja mjini humo kabla ya kwenda nao kwenye chumba cha kulala (Lodging). Walipotembelea chumba hicho, polisi walipata mwili wa mwanamume huyo ukigaa gaa kitandani.

Kwenye eneo la kutupa taka kwenye chumba hicho kulikuwa na mipira ya kondomu iliyokuwa imetumika ila wanawake hao wawili hawakupatikana kumaanisha walitoroka.

Hii noma
26/11/2020

Hii noma

At least 80 KCSE candidates in Matungulu Boys High School in Kangundo Sub-County, Machakos county have stormed out of school saying that they are tired of studying.

The candidates also claimed that the school denied them their rights by withdrawing their entertainment sessions.

06/11/2020

Runs all sales activities of the company
Qualifications
Certificate in sales or any relevant certificate
Must be available for the job
For info
Contact twitcom representatives
0740557398
Or sms 0716195118

Address

7
Kinango
80405

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jumaa Hamisi 2541 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Jumaa Hamisi 2541:

Share